Notifications
Clear all
Maswali na Majibu kuhusu Biashara
1
Posts
1
Users
0
Reactions
23
Views
Topic starter
September 28, 2025 11:48 am
Wafanyabiashara wengi hukumbana na changamoto kama ushindani, kodi, na wateja wasio na uaminifu. Wewe umekutana na changamoto gani kubwa zaidi kwenye biashara yako? Na uliikabilije?