
Last seen: October 14, 2025 12:40 pm
About Me
👋 Jobson Edward mwanzilishi na mpenda mijadala ya maarifa mtandaoni. Nimeunda Wikihii Community kama sehemu ya Watanzania (na marafiki kutoka nje) kujadili mambo mbalimbali:
-
💼 Ajira mpya na fursa za kazi
-
📈 Forex, biashara na uchumi
-
âš½ Michezo na burudani
-
🎓 Elimu na maendeleo binafsi
Ninapenda kushirikiana na watu wanaopenda kujifunza, kubadilishana mawazo na kusaidiana. Lengo langu kubwa ni kuona vijana na wanajamii wakipata taarifa sahihi na zenye manufaa.
👉 Nje ya forum: napenda kuandika makala, kujadili masuala ya maendeleo, na kufuatilia michezo ya ndani na kimataifa.
Â
Karibu tuungane, tushirikiane, na tuijenge hii community iwe ya kipekee kwa ajili ya kila mmoja wetu!