Forex Tools
Chagua Tool Unayohitaji ili kuboresha biashara yako ya Forex kwa ufanisi. Hizi hapa ni tools muhimu kabisa kwa wafanyabiashara wa Forex.
📅 Economic Calendar
Taarifa za matukio muhimu ya kiuchumi yanayoathiri masoko ya fedha duniani.
📏 Lot Size Calculator
Kadiria ukubwa sahihi wa lot kulingana na hatari ya akaunti yako.
💹 Pips Calculator
Fahamu thamani ya pip kwa kila pair unayo trade.
🕒 Forex Time Zone
Angalia ni soko gani limefunguliwa kulingana na muda wa Tanzania.
🧮 Position Size Calculator
Tambua ukubwa bora wa nafasi kulingana na hatari ya biashara.