Kikosi cha Azam FC | Full Squad 2025/56
Orodha ya wachezaji wote wa Azam FC msimu wa 2025/26 imepangwa kwa nafasi—Walinda Mlango, Mabeki, Viungo, Winga na Washambuliaji—pamoja na viungo muhimu vya TPLB, msimamo wa NBC na WhatsApp ya Wikihii Sports kwa taarifa za papo hapo.
- Azam FC kwenye TPLB: Ratiba, matokeo & takwimu
- Msimamo wa NBC Premier League: Angalia msimamo wa sasa
- WhatsApp – Wikihii Sports: Jiunge kwa updates
Walinda Mlango
- Aishi Salum Manula — Kipa (Tanzania)
- Issa Fofana — Kipa (Côte d’Ivoire)
- Anthony Remmy Mpemba — Kipa (Tanzania)
- Zuberi Foba — Kipa (Tanzania)
Mabeki
- Lusajo Mwaikenda — Beki wa Kati (Tanzania)
- Yeison Fuentes — Beki wa Kati (Colombia)
- Edward Charles Manyama — Beki wa Kati (Tanzania)
- Yoro Diaby — Beki wa Kati (Mali)
- Lameck Lawi — Beki wa Kati (Tanzania)
- Abdalla Kheri — Beki wa Kati (Tanzania/Zanzibar)
- Ahoutou Angenor Zouzou — Beki wa Kati (Côte d’Ivoire)
- Ismail Omar Ally — Beki wa Kushoto (Tanzania)
- Pascal Msindo — Beki wa Kushoto (Tanzania)
- Ashrafu Shabani Kibeku — Beki wa Kulia (Tanzania)
- Nathaniel Chilambo — Beki wa Kulia (Tanzania)
Viungo
- Himid Mao Mkami — DM (Tanzania)
- Adolf Bitegeko — DM (Tanzania)
- Ever Meza — DM (Colombia)
- Mamadou Samaké — DM (Mali)
- Feisal Salum — CM (Tanzania/Zanzibar)
- Sadio Kanouté — CM (Mali)
- James Akaminko — CM (Ghana)
- Sospeter Bajana — CM (Tanzania)
- Yahya Zayd — AM (Tanzania)
- Tepsi Evance — AM (Tanzania)
Winga
- Abdul Hamisi Suleiman — Winga (Tanzania)
- Cheickna Diakité — Winga (Mali)
- Iddy Seleman Nado — Winga (Tanzania)
- Baraket Hmidi — Winga (Tunisia)
- Franck Tiesse — Winga (Côte d’Ivoire)
Washambuliaji
- Muhsini Malima — Mshambuliaji (Tanzania)
- Jhonier Blanco — Mshambuliaji (Colombia)
- Nassor Saadun — Mshambuliaji (Tanzania)
- Jephte Kitambala — Mshambuliaji (DR Congo)
- Zidane Ally Sereri — Mshambuliaji (Tanzania)
Angalizo la Uhakiki: Kikosi hubadilika kulingana na usajili na taarifa za klabu. Hii ni orodha ya msimu wa 2025/26; kwa taarifa rasmi za mechi na takwimu, tumia kiungo cha TPLB hapo juu.
