LIONEL Messi ameweka historia mpya kwenye MLS baada ya kufikisha michango 44 ya mabao (mabao 24 + pasi 20 ) kwa Inter Miami katika mechi 29 tu, akimzidi Gonzalo Higuaín aliyefikisha 43 katika mechi 67!
–
Alfajiri ya jana, Messi alifunga bao 1 katika sare ya 1-1 dhidi ya Toronto FC kwenye dakika za nyongeza kipindi cha kwanza.
–
Kwa sasa, amefikisha jumla ya mabao katika michezo 1095 aliyocheza.
–
Tangu ajiunge na Miami 2023:
Ametwaa Leagues Cup
Ameiongoza Miami kutwaa Supporters’ Shield 2024
Mshindi wa Landon Donovan MLS MVP
–
#spotileo #spotileoupdates #michezo #Messi #InterMiami #MLS #GOAT .#MessiMagic #FootballLegends #soka #
Previous ArticleKylian Mbappé atimiza ndoto yake Bernabéu
Next Article Kampuni Bora za Sport Betting Tanzania