Jinsi ya kuangalia mpira bure kwenye simu/PC yako
Kutokana na maendeleo ya technolojia hiviv sasa ni rahisi mno kuangalia mpira wa miguu (ligi yeyote) kwenye simu yako YES hii inawezekana kutokana na technology ilivyokua kubwa na kufanya mapinduzi makubwa ya APPS za kuangalia LIVE Football kupitia simu yako. Kwenye hii article tunaenda kuangalia Baadhi ya Applications ambazo zitakusaidia uweze kuangalia ligi zako pendwa.
Camel Live
Hii ni App na website namba moja kwenye list yetu ni kwa sababu ya ubora wake Camel Live inakuwezesha kuangalia mpira uwe na Android au Iphone ligi zote kubwa na ndogo kama vile Premier League, LaLiga, Ligue1, Saudi Pro League na ligi nyingine zote, hapa utapata Real time score, statistics, pamoja na mechi nyingine zifuatazo, CAMEL LIVE ni website amabayo unaweza kuisave kama App kwenye smartphone yako.
JioTV
JioTV inashika namba mbili kwenye List yetu hii ni App inayokuwezesha kuangalia Mpira Live pamoja na movie mbalimbali, App hii inakupa channel nyingi bure ambazo ulikua huwezi kuzipata mpaka ulipie, APP hii ni bora kwa sababu inaenda mbali zaidi na ku include movies, live shows kwenye package zake lkn kwa Mpira Live inafanya vzr sana
LiveTV
Live TV ni app nyingine nzuri sana ambayo inaweza kukusaidia kuweza kuangalia Mechi mbalimbali zinazoendelea na zijazo kupitia APP hii kitu kizuri ni kwamba inaonesha mpira kwenye HD na Quality yake ni juu mno, pia ina maudhui mengine kama vile movies, Liveshows na vipindi mbalimbali vya TV
WhiteIPTV
WhiteIPTV ni moja kati ya app zenye TV nyingi kuliko app zote kwenye list hii, App hii inakupa uwezo wa kuangalia channel karibia zote zilizopo kwenye king’amuzi cha DSTV, Hii App nI Nzuri sana kwa Kuangalia mpira kwa sababu inakuletea Match kwenye HD, Muonekano wa mechi zake ni Quality ya Juu sana.
GaTo TV
Gato TV ni APP nyingine kwenye LIST yetu ambayo inakuwezesha kuangalia Football Match live kwenye smartphone yako, App hii ina mkusanyiko wa channel mbalimbali za michezo ambazo ulikuwa huwezi kuzipata kwenye app nyinginezo kutokana na labda ni za kulipia au zinatokea nchi nyingine tofauti na unapoishi wewe.
BEETV
BeeTV ndio App ya mwsho inayofunga Dimba kwenye article yetu leo, hii ni App ambayo inafahamika sana kwa sabbu ilishafanya mambo makubwa kwa wapenda movies, Imekua ikionesha movies kwa miaka mingi na kupata umaarufu ktk sekta hiyo, Lkn pia Hii App ina channel za mpira kwenye mfumo wake ambazo kupitia hizo channel utawezza kuangalia mpira wa miguu kwenye smartphone yako na ni HD.