Jinsi ya Kulipia King’amuzi cha Azam TV | Airtel Money
- Piga *150*60#
- Chagua Lipa Bili
- Chagua chagua biashara
- Chagua Vin’gamuzi vya TV
- Chagua Azam Pay TV
- Weka kiasi
- Weka Nambari ya Marejeleo (Nambari ya Akaunti ya Azam TV)
- Weka Pini
- Bonyeza 1 ili kuthibitisha‚ 2 ili kukataa.
SOMA NA HIZI NJIA NYINGINE ZA MALIPO