Jinsi ya Kulipia King’amuzi cha Azam TV | Mixx by Yas
- Piga *150*01#
- Chagua “Lipa Bili”
- Chagua “Pata Namba ya Biashara”
- Chagua “5 Kin’gamuzi”
- Chagua “Azam Pay Tv”
- Chagua Namba 5 – Azam Tv – Ok
- Ingiza Namba Ya Kumbukumbu: Tz1000xxxx – Ok
- Weka Kiasi
- Weka Namba Ya Siri
- Bonyeza 1 Kuthibitisha
SOMA NA HIZI NJIA NYINGINE ZA MALIPO