Jinsi ya Kununua Tiketi kwenye Mechi za Mpira Vodacom M-Pesa
Sasa ni rahisi kununua tiketi kwenye mechi ya timu unayoipenda kwa haraka na kwenye simu yako kwenye hii article tumekuwekea utaratibu rahisi wa kununua tiketi kupitia menu ya MPESA
Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira Vodacom M-Pesa
- Piga *150*00#
- Chagua 4 (Lipa kwa M-Pesa)
- Chagua 9 (Zaidi)
- Chagua 1 (E-payment)
- Chagua 1 (Tiketi za Michezo)
- Chagua 1 (Tiketi za Mpira)
- Chagua mechi unayotaka kulipia
- Chagua kiingilio
- Weka namba ya kadi ya N-Card
- Ingiza namba ya siri
- Thibitisha