Yanga SC
Kikosi cha Young Africans 2025/2026
Muhtasari: Hii ni orodha (Majina) ya wachezaji wa Young Africans SC kwa msimu wa 2025/2026. Tutahuisha ukurasa huu kadri mabadiliko ya usajili yanavyotokea kabla na wakati wa dirisha la usajili.
Orodha Kamili ya Wachezaji wa Yanga SC (2025/2026)
- Djigui DiarraMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Dickson JobMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Bakari MwamnyetoMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Chadrack Issaka BokaMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Ibrahim AbdallahMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Pacome ZouzouaMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Mudathir YahyaMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Aboubakar Salum (Sureboy)Mara nyingi huanzia benchi.
- Max NzengeliMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Prince DubeMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Clement MzizeMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Israel MwendaMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Denis NkaneMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Duke AbuyaMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Abuutwalib MasheryMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Aziz AndambwileMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Lassine KoumaMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Moussa Balla ConteMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Offen ChikolaMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Abdulnasir Abdallah MohamedMchezaji Mpya kikosini.
- Andy BoyeliMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Celestine EcuaMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Mohamed DoumbiaMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Mohamed HusseinMchezaji wa kikosi cha kwanza.
- Farid MussaMara nyingi huanzia benchi.
- Abubakar Nizar Othuman “Ninju”Mara nyingi huanzia benchi.
- Nickson Clement KibabageMara nyingi huanzia benchi.
- Kibwana ShomariMara nyingi huanzia benchi.
- Shekhan HamisMara nyingi huanzia benchi.
Benchi la Ufundi – Young Africans 2025/2026
Head Coach
Romain Folz
Mchambuzi wa Video za Michezo
Thulani Thekiso
Kocha wa Magolikipa
Majdi Mnasria








Viungo Muhimu kwa Mashabiki wa Yanga
TPLB (Ligi Kuu Tanzania)
AzamTV
TFF – Shirikisho la Soka Tanzania
Msimamo wa Ligi Kuu (NBC)
Wikihii Sports – WhatsApp Channel
Kumbuka: Orodha hii inaweza kubadilika kulingana na usajili/uhamisho, majeruhi au mabadiliko ya benchi la ufundi. Tutahuisha taarifa hizi mara tu taarifa rasmi zinapotolewa.