Mishahara ya Wachezaji wa Yanga SC
Mishahara ya Wachezaji wa Yanga SC – 2024/2025
Fahamu mishahara inayolipwa kwa baadhi ya wachezaji wa Yanga SC kwa msimu wa Mpya. Hizi ni makadirio kutoka vyanzo mbalimbali vya habari za michezo.
- Stephane Aziz Ki: Tsh 30 Milioni kwa mwezi
- Maxi Nzengeli: Tsh 10 Milioni kwa mwezi
- Kennedy Musonda: Tsh 6 Milioni kwa mwezi
- Khalid Aucho: Tsh 6 Milioni kwa mwezi
- Djigui Diarra: Tsh 4 Milioni kwa mwezi
- Jonas Mkude: Tsh 5 Milioni kwa mwezi
- Clatous Chama: Tsh 28 Milioni kwa mwezi
- Bakari Mwamnyeto: Tsh 3 Milioni kwa mwezi
- Dickson Job: Tsh 3 Milioni kwa mwezi
- Kouassi Attohoula: Tsh 3 Milioni kwa mwezi
- Pacôme Zouzoua: Tsh 15 Milioni kwa mwezi
- Mudathir Yahya: Tsh 2.3 Milioni kwa mwezi
- Abuutwalib Mshary: Tsh 500,000 kwa mwezi
- Nickson Kibabage: Tsh 990,000 kwa mwezi
- Kibwana Shomari: Tsh 1 Milioni kwa mwezi
- Salum Abubakar Salum: Tsh 3 Milioni kwa mwezi
- Clement Mzize: Tsh 900,000 kwa mwezi
- Denis Nkane: Tsh 900,000 kwa mwezi
- Faridi Mussa: Tsh 750,000 kwa mwezi
- Shekhan Ibrahim Khamis: Tsh 420,000 kwa mwezi
⚽ Kikosi Kipya cha Yanga 2024/2025 Kipo Tayari!
Tazama majina ya wachezaji wapya na waliobaki, pamoja na nafasi zao msimu huu!
📋 Angalia Kikosi Hapa
Angalizo: Takwimu hizi ni za makadirio na zinaweza kubadilika kulingana na mabadiliko ya mikataba na taarifa rasmi kutoka klabuni.
Endelea kufuatilia ukurasa wetu wa Yanga SC kwa taarifa zaidi kuhusu kikosi, matokeo ya mechi, na habari motomoto!