Ratiba Mechi za Leo Ligi Mbalimbali
Ligi mbalimbali zinaendelea duniani kote na mwanamichezo ni muhimu kujua ratiba ya mechi za leo ktk ligi mbalimbali kama vile Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga), Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1), Ligi Kuu ya Italia (Serie A) Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi kuu ya misri, Ligi Kuu ya South Africa, Ligi Kuu ya Argentina, na Ligi nyingine zote duniani.
Kwa Wale wazee wa KUBETI, pamoja na Wafuatiliaji wa michezo Platform yetu ni muhimu kuitumia kwa sababu inatoa msimamo wa ligi, ratiba za mechi mbalimbali, matokeo ya mechi zilizopita, lkn pia inatoa hadi list ya wafungaji bora katika LIGI YAKO PENDWA.
