TFF |
Tanzania Football Federation |
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania |
FIFA |
Federation Internationale de Football Association |
Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Mpira wa Miguu |
CAF |
Confederation of African Football |
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika |
CECAFA |
Council of East and Central Africa Football Associations |
Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati |
ZFF |
Zanzibar Football Federation |
Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar |
FA(M) |
Regional Football Association |
Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa |
FA(W) |
District Football Association |
Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya |
FRAT |
Football Referees Association of Tanzania |
Chama cha Waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania |
TAFCA |
Tanzania Football Coaches Association |
Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania |
TASMA |
Tanzania Sports Medicine Association |
Chama cha Wataalamu wa Tiba za Wanamichezo Tanzania |
SPUTANZA |
Soccer Players Union of Tanzania |
Umoja wa Wachezaji Mpira wa Miguu Tanzania |
KAMATI ya UTENDAJI |
Executive Committee of TFF |
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania |
TPLB |
Tanzania Premier League Board |
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania |
KLABU |
Football Club |
Klabu ya timu ya Mpira wa Miguu inayoshiriki Ligi |
KLABU BINGWA |
Premier League Champion Club |
Klabu ambayo timu yake imeshinda kupata nafasi ya kwanza katika msimamo wa Ligi Kuu baada ya Ligi kwisha. |
TIMU |
Football Team |
Timu ya Mpira wa Miguu ya Klabu ya Ligi Kuu |
MPIRA |
Football |
Mpira wa Miguu wa kuchezea |
LIGI KUU |
Premier League |
Mashindano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara |
CHAMPIONSHIP |
First Division League |
Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara |
KIWANJA |
Pitch |
Kiwanja cha kuchezea |