Close Menu
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook X (Twitter) Instagram
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook YouTube WhatsApp
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
wikihii.comwikihii.com
Home » Makala
Makala

Kuangalia Namba ya NIDA Online

Updated:April 16, 20252 Mins Read
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Kuangalia Namba ya NIDA Online
Kuangalia Namba ya NIDA Online
Share
Facebook Telegram WhatsApp Copy Link

Sasa ni rahisi sana kuangalia namba yako ya NIDA online wakati wowote kwenye smartphone yako, kwenye hii article tunaenda kuangalia utaratibu mzima wa namna ambavyo unaweza kuangalia namba yako ya NIDA mtandaoni.

Umuhimu wa NIDA kwako

Kitambulisho cha NIDA (National Identification Authority) ni hati halali inayomilikiwa na mzaliwa wa Tanzania. Kitambulisho hichi ndicho kinatumika kama uthibitisho wa uraia na utambulisho wa mtu. Kitambulisho cha NIDA Kinahitajikaga maeneo mengi sana kwa mfano:

  • Huduma za Kibenki: Ili kufungua akaunti au kupata mikopo.
  • Ushiriki Katika Uchaguzi: Ili kutekeleza haki ya msingi ya kupiga kura.
  • Huduma za Serikali: Ili kupata huduma mbalimbali za serikali.
  • Miamala Mingine Muhimu: Kama vile kununua ardhi, kusajili ndoa, na kupata leseni.
  • Kusajili Laini za Simu: Namba ya kitambulisho cha NIDA ni lazima wakati wa kusajili laini ya mtandano wa simu yeyote

Kuangalia Namba ya NIDA Online

Fuatana na mwandishi wa makala hii kuangalia njia rahisi ndani ya muda mfupi tu utakua tayari umefahamu namna jinsi ya kuangalia Namba yako ya NIDA online.

Utaratibu Kuangalia Namba ya NIDA Online

1. Tembelea Tovuti Rasmi: Fungua kivinjari chako cha wavuti na uende kwenye tovuti rasmi ya NIDA: https://services.nida.go.tz/nidportal/get_nin

2. Toa Taarifa Zinazohitajika: Jaza kwa usahihi taarifa zifuatazo:

  • Jina la kwanza
  • Jina la mwisho
  • Tarehe ya kuzaliwa
  • Jina la kwanza la mama
  • Jina la mwisho la mama

3. Thibitisha Wewe Sio Roboti: Andika neno linaloonyeshwa kwenye picha ili kuthibitisha kuwa wewe si roboti.

4. Pata Namba ya NIDA: Bofya kitufe cha “Angalia” ili kupata namba ya NIDA.

Kuangalia Namba ya NIDA Online 2

Follow on Facebook Follow on YouTube Follow on WhatsApp Follow on Telegram
Share. Facebook Telegram WhatsApp Copy Link
Previous ArticleJinsi Ya Kupata Namba Ya NIDA
Next Article Kupata TIN Namba Ya Biashara Mtandaoni

MAKALA ZINAZOHUSIANA

JINSI YA KUOMBA MKOPO WA MWAJIRIWA NMB BANK

June 3, 2025

Jinsi ya Kujiunga na GPSA Tanzania (Hatua kwa Hatua)

June 2, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo ESS Utumishi (Mfumo wa Employee Self Service)

June 1, 2025

Jinsi ya Kuangalia Password ya Email Yako (Kwa Gmail, Outlook na Yahoo)

June 1, 2025

Jinsi ya Kutumia Excel Kwa haraka

June 1, 2025

Jinsi ya Kusoma Bila Kusahau – Mbinu Bora za Kukuza Kumbukumbu na Ufahamu

June 1, 2025
Biashara
Biashara

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la Dar es salaam Stock Exchange (DSE)

By Wikihii MediaJune 3, 20250

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la DSE – Dar es salaam Stock Exchange Uwekezaji katika…

Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka Alibaba (China) Hatua kwa Hatua

June 3, 2025

Aina za mikopo CRDB Bank | Mikopo ya CRDB

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo CRDB Bank

June 3, 2025

JINSI YA KUOMBA MKOPO NMB KWA WAJASIRIAMALI

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Halmashauri (10% kwa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu)

June 3, 2025

wikihii media

  • Disclaimer
  • Kuhusu wikihii
  • Sera ya faragha
  • Sheria ya Matumizi
  • Wasiliana na wikihii

Wikihii Services

  • Michezo
  • Forex Tanzania
  • Leo ktk Historia
  • Kipimo cha Mimba
  • Matokeo ya Mtihani

Wikihii Newsletter

Subscribe kwenye email list wikihii kupata Updates za Ajira punde tu Mara baada ya Ajira kutangazwa.

© 2025 wikihii.com Designed by Wikihii Media.
  • Cookies Policy
  • Wordpress Website Service

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Ad Blocker Enabled!
Ad Blocker Enabled!
Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors. Please support us by disabling your Ad Blocker.