Close Menu
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook X (Twitter) Instagram
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook YouTube WhatsApp
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
wikihii.comwikihii.com
Home » Makala
Makala

Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Tanzania

Updated:April 16, 20253 Mins Read
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Tanzania
Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Tanzania
Share
Facebook Telegram WhatsApp Copy Link

Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Kwa Mtu Mzima
Cheti cha kuzaliwa ni hati maalum na ni haki ya kila raia wa nchi ya tanzania kuwa nacho. Cheti cha kuzaliwa ndio ushahidi wa kwamba wewe ni mtanzania halisi, kikionyesha taariza zote za mtu husika kuanzaia tarehe, mahali, na wazazi wake. Hati hii hutumika katika nyanja mbalimbali za maisha, kuanzia kutambulisha mtu, kusafiri, kupata ajira, mashuleni hadi kufungua akaunti za benki.

Cheti cha kuzaliwa kwa mtoto ni rahisi sana kukipata kwa sababu huwa kinatolwa mara baada tu ya mtoto kuzaliwa, lakini kwa bahati mbaya kuna baadhi ya situation kwenye maisha zinatokea na unakuta mzazi anakosa cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake.

Hali hii inasbabishwa na mambo mengi kama vile uzembe, ugonjwa, mzazi kutoona umuhimu wa cheti hii imetokea sana miaka ya nyuma,

Sasa kama ambavyo tumeona umuhimu wa cheti ni hasara sana kwa kijana au mtu mzima sasa kutokuwa na cheti au kukosa cheti, kwa sabbu itakuweka mbali na fursa nyingi zikiwemo fursa za ajira za serikali pia binafsi maana cheti ndio hati maalum ya uraia wako (Tanzania)

Kwenye hii article tunaenda kuangalia utaratibu maalum wa kiserikalin wa kpata cheti cha kuzaliwa kwa kijana au mtu mzima,

Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Tanzania

Kama tulivyosema mtu anaweza kukosa cheti cha kuzaliwa kutokana na sababu mbalimbali sasa ufuatao ndio utaratibu rasmi wa kiserikali wa namna jinsi ya kuomba cheti cha kuzaliwa,

Haya ndio matumizi mbalimbali ya cheti cha kuzaliwa

  • Kupata hati ya kusafiria (pasipoti)
  • Kuandikishwa kupiga kura
  • Kuomba ajira
  • Kuomba mikopo
  • Kufungua akaunti ya benki

Utaratibu wa Kupata Cheti cha Kuzaliwa Tanzania

  • Jaza Fomu ya Usajili wa Kizazi, B3 (ipatikane kwenye ofisi za RITA au mtandaoni).
  • Ambatanisha picha ya mtoto (passport size) na nyaraka zinazohitajika (kadi ya kliniki, cheti cha ubatizo, barua kutoka serikali za mitaa, vyeti vya shule, n.k.).
  • Kwa wale waliozaliwa zamani sana, utahitaji pia kadi ya taifa, kadi ya kupigia kura, au bima ya afya.
  • Lipa ada ya shilingi 20,000.

Nyaraka za Ushahidi: Mzazi au mlezi anatakiwa kuwasilisha nyaraka mbalimbali kama vile:

  • Kadi ya kliniki ya mtoto
  • Cheti cha ubatizo (ikiwa kipo)
  • Barua kutoka mamlaka za serikali (mfano, ofisi ya mtendaji wa kata/kijiji)
  • Cheti cha kumaliza elimu ya msingi au sekondari

Nyaraka za Utambulisho (kwa waliozaliwa zamani): Kwa wale waliozaliwa miaka mingi iliyopita, wanatakiwa kuambatanisha nyaraka za ziada kama vile:

  • Kadi ya Utaifa pamoja na Kadi ya Kura au Bima ya Afya.
  • Leseni ya Gari (lazima iambatane na Kadi ya Utaifa au Kadi ya Kura).
  • MAPENDEKEZO YA MWANDISHI
  • Kuangalia Namba ya NIDA Online
  • Jinsi Ya Kupata Namba Ya NIDA
  • Jinsi ya kuangalia deni la Leseni Online
  • Jinsi ya kuangalia deni la gari kwa simu

Follow on Facebook Follow on YouTube Follow on WhatsApp Follow on Telegram
Share. Facebook Telegram WhatsApp Copy Link
Previous ArticleJinsi ya Kununua Tiketi kwenye Mechi za Mpira Vodacom M-Pesa
Next Article Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha 5: Form five selection 2025

MAKALA ZINAZOHUSIANA

JINSI YA KUOMBA MKOPO WA MWAJIRIWA NMB BANK

June 3, 2025

Jinsi ya Kujiunga na GPSA Tanzania (Hatua kwa Hatua)

June 2, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo ESS Utumishi (Mfumo wa Employee Self Service)

June 1, 2025

Jinsi ya Kuangalia Password ya Email Yako (Kwa Gmail, Outlook na Yahoo)

June 1, 2025

Jinsi ya Kutumia Excel Kwa haraka

June 1, 2025

Jinsi ya Kusoma Bila Kusahau – Mbinu Bora za Kukuza Kumbukumbu na Ufahamu

June 1, 2025
Biashara
Biashara

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la Dar es salaam Stock Exchange (DSE)

By Wikihii MediaJune 3, 20250

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la DSE – Dar es salaam Stock Exchange Uwekezaji katika…

Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka Alibaba (China) Hatua kwa Hatua

June 3, 2025

Aina za mikopo CRDB Bank | Mikopo ya CRDB

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo CRDB Bank

June 3, 2025

JINSI YA KUOMBA MKOPO NMB KWA WAJASIRIAMALI

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Halmashauri (10% kwa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu)

June 3, 2025

wikihii media

  • Disclaimer
  • Kuhusu wikihii
  • Sera ya faragha
  • Sheria ya Matumizi
  • Wasiliana na wikihii

Wikihii Services

  • Michezo
  • Forex Tanzania
  • Leo ktk Historia
  • Kipimo cha Mimba
  • Matokeo ya Mtihani

Wikihii Newsletter

Subscribe kwenye email list wikihii kupata Updates za Ajira punde tu Mara baada ya Ajira kutangazwa.

© 2025 wikihii.com Designed by Wikihii Media.
  • Cookies Policy
  • Wordpress Website Service

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Ad Blocker Enabled!
Ad Blocker Enabled!
Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors. Please support us by disabling your Ad Blocker.