Close Menu
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook X (Twitter) Instagram
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook YouTube WhatsApp
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
wikihii.comwikihii.com
Home » Mapenzi
Mapenzi

Jinsi ya kumvutia Msichana na Kumfanya Akutamani kimapenzi

Updated:April 17, 20254 Mins Read
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Zawadi za Kihisia na Kimapenzi kwa mpenzi wako
Zawadi za Kihisia na Kimapenzi kwa mpenzi wako
Share
Facebook Telegram WhatsApp Copy Link

Jinsi ya kumvutia Msichana na Kumfanya Akutamani kimapenzi

Mapenzi ni hisia huwezi kumfata tu binti ukaanza kumueleza kwamba unampenda kwanza anaweza kukuona kama chizi Kabla hujamtokea demu unayempenda kwnza huwa tunaanza kwa kumchombeza kidogo, salamu za hapa na pale ili akufahamu kwanza.

Sasa wikihii tunakuletea mbinu za hatari za kumvutia binti/msichana unayempenda mbinu hizi zitamfanya mtoto mzuri aje kwako kirahisi kabisa utampata mtoto mzuri sana hadi washkaji zako watashangaa na watashidwa kuelewa umefanyaje kumpata mchumba naongea hii kutoka katika uzoefu wangu nilikua natumia mbinu hizi ambazo nashare na wewe leo kukamata marembo wakali.

  • Anza na salamu za hapa na pale
  • Epuka kuongea sana mapema
  • Mchukulie kama binadamu wa kawaida
  • Unamtaka yeye hivyo ni kuhusu yeye.
  • Jiamini lakini usipitilize.
  • Muulize maswali yenye tija na ya kimtego
  • Toa sifa kwa vitu vinavyomzunguka na sio yeye.

Anza na salamu za hapa na pale

Amini usiamini kitu cha kwanza kukamata attention ya msichana ni salamu tu, kama unaishi karibu naye basi mara moja moja unaenda kumsalimia tu kisha unaondoka kama mtu ambae uko bize sana, siku nyingine kama una namba zake unampigia au text za kumsalimia hii itamfanya aanze kupata picha yako kichwani kwake taratibu hapo sasa ndio picha linaanza….

Epuka kuongea sana mapema

Haitakiwi unamtokea demu unaanza kwa kujieleza sana na kuongea sana huo ni udhaifu na utamfanya akuchoke mapema sana, wanaume nawapa siri moja kubwa sana kwenye suala la kuanzisha mahusiano mapya siku zote mtengeneze mwanamke hadi ifike hatua unamuona kabisa anakutaka na anataka kweli kulala na wewe,

Soma hapa: Siri za kumfanya Mwanaume Kumsahau Ex wake!

Unatakiwa kuwa concious sana kila move unayoichukua hakikisha inakua ni hatua ya ushindi wa kihisia (jaribu ku win hisia zake), sasa ukiongea sana mapema mwanamke anajua huyu hajiamini, bado hajui mapenzi, au anataka kunichungulia kisha akapita kushoto.

Mchukulie kama binadamu wa kawaida

Wanaume wengi wakimpenda demu wanataka kutumia nguvu, kutumia pesa, kujionesha sana kwenye mazingira alipo demu hivi vyote ni uongo huwezi kuwin battle kwa demu anayejielewa kwa kufanya yoyote kati ya hayo

wikihii sasa ipo whatsApp 2 scaled

Siri ni moja tu Ishi maisha yako unampenda sawa lakini maisha yako lazima yaende hivyo ishi na mchukulie kama watu wenggine huku ukiwa unafanya mawindo yako kama simba wa porini, hii itamfanya akuone unajiamini, unajua wanawake karibia wote wanampenda mwanaume anayejiamini ni muhimu kuonesha kwamba unajiamini sana itamfanya akuchukulie wa tofauti.

Unamtaka yeye hivyo ni kuhusu yeye.

Utafanya kosa kubwa sana ukiwa unamfukuzia demu halafu ukipata nafasi ya kuongea nae unaleta maongezi yanayokuhusu wewe huu ni ushamba, KIla demu anajipenda anapenda kupewa thamani hivyo ni wewe ndiye ambae unamfuatilia lazima uwe umemsoma nakujua anapenda nini hii itakusaidia kuleta maongezi yatakayokuwa yanamuhusu yeye direct wanawake ndivyo wanavyopenda mpe hadhi yake.

Soma: Mambo ya kuzingatia unapokuwa na mpenzi wako Usiku wa Kwanza

Jiamini lakini usipitilize.

Nimeeleza mwanzo wanawake wanapenda wanaume wanaojiamini lakini kuwa muangalifu ukujiamini kupitiliza utakuwa unachekesha na demu utamkosa kwa sababu inaweza kumtisha demu akaona wewe ni hardcore/una misisamo – mademu wengi hawapendi watu wa namna hii.

Jiamini kwa level ya kawaida tu huku ukiwa unachanganya na romantic specific unapokuwa nae au unapokuwa unachaat nae au kuongea nae, keep it simple, usiwee mgumu sana wanaume mnanielewa nadhani ninacchomaanisha hapa.

Mambo ya kuzingatia unapokuwa na mpenzi wako Usiku wa Kwanza 2

Muulize maswali yenye tija na ya kimtego

Epuka kumuuliza kuhusu kazi yake, maisha yake, au mahusiano yake badala yake muulize juu ya vitu ambavyo anavipenda na na hapa wewe kuwa msikilizaji tu na utachangia kidogokidogo kumbuka anapenda kuzungumziwa yeye na hasa mkiwa ndio kwanza mnaanza kutakana.

Usilete tabia za kubishana hovyo, usioneshe kabisa kama unapenda kubishana hata kama wewe ni mbishi, mademu wanapenda kusikilizwa na wapenzi wao na hivyo wanapenda mtu msikivu muelewa na mwelevu, sasa ukiwa mbishi tayari unajitoa kwenye nafasi ya kuushinda moyo wake na hatimaye kuuteka kabisa.

Soma: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke hadi mwenyewe Atake kulala na wewe

Toa sifa kwa vitu vinavyomzunguka na sio yeye.

Badala ya kumsifia yeye kila wakati hakikisha unatoa sifa/ unamwaga maua kwenye mazingira yaliyomzunguka huyo mrembo, vitu kama nguo, sehemu mlipo, inaweza kuwa kitu chochote hereni alizovaa, mkoba au chochote.

Play game smart usizidishe sana itaboa kuna wakati ambao wote mtazama kwenye huba basi unampa sifa zake kwa ukarimu, ili ajue kwamba unampenda

Follow on Facebook Follow on YouTube Follow on WhatsApp Follow on Telegram
Share. Facebook Telegram WhatsApp Copy Link
Previous ArticleJinsi ya Kumtongoza Mwanamke hadi mwenyewe Atake kulala na wewe
Next Article Mbinu za Kumfanya Mwanamke akojoe na afurahie kwenye Tendo
Biashara
Biashara

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la Dar es salaam Stock Exchange (DSE)

By Wikihii MediaJune 3, 20250

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la DSE – Dar es salaam Stock Exchange Uwekezaji katika…

Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka Alibaba (China) Hatua kwa Hatua

June 3, 2025

Aina za mikopo CRDB Bank | Mikopo ya CRDB

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo CRDB Bank

June 3, 2025

JINSI YA KUOMBA MKOPO NMB KWA WAJASIRIAMALI

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Halmashauri (10% kwa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu)

June 3, 2025

wikihii media

  • Disclaimer
  • Kuhusu wikihii
  • Sera ya faragha
  • Sheria ya Matumizi
  • Wasiliana na wikihii

Wikihii Services

  • Michezo
  • Forex Tanzania
  • Leo ktk Historia
  • Kipimo cha Mimba
  • Matokeo ya Mtihani

Wikihii Newsletter

Subscribe kwenye email list wikihii kupata Updates za Ajira punde tu Mara baada ya Ajira kutangazwa.

© 2025 wikihii.com Designed by Wikihii Media.
  • Cookies Policy
  • Wordpress Website Service

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Ad Blocker Enabled!
Ad Blocker Enabled!
Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors. Please support us by disabling your Ad Blocker.