Hizi hapa dalili za kukojoa kwa mwanamke mkiwa kwenye tendo.
Kama mwanaume ni muhimu kujua na kuelewa jinsi wanawake wanavyopata raha wakati wa tendo la ndoa. Kukojoa kwa mwanamke, au “squirting,” ni hali inayojitokeza wakati wa kilele cha raha anazopata mwanamke anapokuwa anakunwa na mwanaume -(orgasm) ambapo mwanamke anatoa maji au majimaji kutoka kwenye tezi zinazozunguka urethra (kifereji cha mkojo).
Msisimko wake utaongezeka
Dalili ya kwanza kabisa kwa mwanamke ni kwamba msisimko wake utaongezeka mara dufu wakati mnaendelea na tendo utamuona yeye anazidi kukolea na unaweza kusikia hata sauti yake inabadilika concentration yake yote inakuwa kwenye mchezo na anakuwa serious na game.
Sometimes anaweza kukukumbatia kwa nguvu sana au akakushika sehemu yoyote kwa nguvu na asiachie hiyo maana yake tayari zimemkolea haswa anataka uendelee kumpa raha na mahaba yote unayoyajua hii ni hatua namba moja kbs kwanza kumgundua mweza wako kama anakaribia kufika kileleni/ mshindo au ameshafika kileleni ili ujue namna ya kumsaidia afike salama kwa mahaba mazito.
Uteute utaongezeka ukeni
Dalili namba mbili kwa mwanamke ni kwamba majimaji au uteute ambao huwa unatoka kwenye uchi wa mwanamke utaongezeka sana kadri jinsi unavyomkuna na kumsugua utaona majimaji yanaongezeka kwenye K yake, hapo endelea kumpelekea moto maana mwili wake unakua taayari umeshachemka anakuwa anahitaji fimbo zaidi ili afike kwenye kilele chake, hivyo mpe mashine huku mkiwa mnabadilisha stairi mbalaaimbali kulingana na mazingira mlipo.
Kuwa makini kuna baadhi ya wanawake majimaji kwao ni asili, wanakuaga na maji mengi kuanzia mwanzo wa mchezo hadi mwisho sasa hapa unatakiwa kumjua mpenzi wako ni aina gani.

Kuhisi mkojo wa kawaida
Wakati mwingine mwanamke anaweza kujihisi kama vile anataka kukojoa mkojo wa kawaida katikati ya tendo mnalofanya, lakini unakuwa sio mkojo wa kawaida kwa sababu mishipa ya kibofu yote inakua imezibuka wakati huo kutokana na msuguano uliopo kwa sababu ya kugongwa.
dalili hii ni rahisi kuitambua maana huwa wanaongea kbs nataka kwenda kukojoa sometimes akienda anakojoa kweli na wakati mwingine anakosa kukojoa kwa sababu unakua sio mkojo wa kawaida ni ule wenyewe unaleta signal kwamba unataka kuja.
Hisia kali na mahaba mazito
Hapa sasa ndio demu anaweza hata kukung’ata ukifanya masihala ni hali inayomtokea mwanamke akiwa kwenye mahaba mazito (deep feelings), anakuwa na msisimko mkubwa sana anakuwa na hamu kubwa na anaongeza utendaji wake wa kazi pale kitandani hii ni rahisi kuigundua kwa sababu unamuona jinsi anavyotapatapa na hapohapo wewe unapigilia misumari mingi ki mahaba hakikisha unampelekea moto haswa maana ndio wakati ambao anakua high kimahaba.
Pia soma: Jinsi ya kumvutia Msichana na Kumfanya Akutamani kimapenzi
Hii huwa ni hatua ya mwisho kabla mwnamke hajashusha mkojo wake kwa hisia kali hivyo tambua katika kila hatua atakayopitia mwanamke kwenye tendo fahamu namna ya kuadopt na kumsapoti ili malengo yatimie ukimuona anapata moto na wewe pandisha moto hivyo ndivyo namna ya kumsaidia mnapokuwa kitandani mnafanya kale kamchezo cha siri.
Mwanaume ukiona dalili hizi jiongeze
kujua na kuelewa dalili za kukojoa kwa mwanamke ni muhimu ili aweze kushiriki kwa ufanisi na kuhakikisha kwamba mwanamke anafurahia tendo la ndoa
Kumsapoti ktk kila hatua: Mwanaume anapaswa kumsapoti mwanamke na kumfanya ajisikie huru na salama wakati wa tendo la ndoa. Kama mwanaume anaona dalili za kukojoa, anapaswa kumwondolea aibu kwa kufanya vitu vitakavyochochea ukojoaji wake kwa vitendo na maneno.
Fahamu Wakati wa Kumpa Nafasi: Wakati mwingine, mwanamke anaweza kuhitaji muda kidogo wa utulivu ili kushughulikia mchakato wa kukojoa. Mwanaume anapaswa kujua wakati wa kumpa mwanamke nafasi hiyo bila kumshinikiza.
Pia Soma: Mambo ya kuzingatia unapokuwa na mpenzi wako Usiku wa Kwanza
Usijishtukie: Mwanaume anapaswa kuelewa kwamba kukojoa kwa mwanamke ni mchakato wa kawaida wa mwili na haipaswi kuogopwa au kuepukwa. Badala yake, anapaswa kuikubali hali hiyo na kuhakikisha kwamba anafanya mazingira kuwa salama na ya kustarehesha.
Kuendelea na Tendo kwa Utulivu: Mwanaume anapaswa kuendelea na tendo la ndoa kwa utulivu na kuzingatia hisia na mahitaji ya mwanamke. Hii itasaidia katika kujenga uzoefu wa kufurahisha kwa pande zote mbili.
Hitimisho
Kujua dalili za mwanamke wako kutaka kukojoa ni jambo moja na kumsapoti wakati umegundua dalili hizo ni jambo lingine hakikisha unakuwa supportive kwa mwenza wako wakati mkiwa mnapeana raha za chumbani, pia kumbuka kufanya maandalizi kabla ya yote muandae vizuri mpenzi wako ili mkija kuzama chumvini anakuwa tayari ameshalowa tepetepe.
