Close Menu
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook X (Twitter) Instagram
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook YouTube WhatsApp
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
wikihii.comwikihii.com
Home » Biashara
Biashara

Dhahabu inapatikana maeneo haya kwa tanzania

Sehemu zinapopatikana Dhahabu tanzania
Updated:April 17, 20252 Mins Read
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Dhababu inapatikana maeneo haya kwa tanzania
Dhababu inapatikana maeneo haya kwa tanzania
Share
Facebook Telegram WhatsApp Copy Link

Dhahabu nchini Tanzania kwa kiasi kikubwa sana hupatikana katika ukanda wa Ziwa Victoria, Mikoa iliyopo karibu na na ziwa victoria lakini hasahasa maeneo haya yafuatayo eneo la Lupa Gold Field, Mpanda Mineral Field, na ukanda wa dhahabu wa Tanzania Mashariki.

  • Kanda ya Ziwa Victoria
  • Lupa Gold Field
  • Mpanda Mineral Field
  • Mgodi wa Dhahabu wa Geita
  • Mgodi wa Dhahabu wa North Mara
  • New Luika Gold Mine
  • Hitimisho

Kanda ya Ziwa Victoria

Eneo hili lina migodi mikubwa ya dhahabu kama Bulyanhulu, Geita (inayomilikiwa na AngloGold Ashanti), Buzwagi, na North Mara (inayomilikiwa na Twiga Minerals Corporation, ubia kati ya Barrick Gold Corporation na Serikali ya Tanzania).

Lupa Gold Field

PROJECT hii ya uzalishaji wa dhahabu ni sehemu ya mgodi wa dhahabu wa New Luika (unaomilikiwa na Shanta Gold) katika Wilaya ya Songwe.

Mpanda Mineral Field 

Mkoa huu pia unajulikana kwa kuwa dhahabu hasa kwa sababu ya uwepo wa migodi mingi midogo midogo lakini pia kuna project kubwa za dhahabu na tayari serikali ya tanzania imeshasaini mikataba ya utekelezaji wa kuanza kazi za uchenjuaji wa dhahabu pale Mpanda.

Soma na hii: Bei ya Dhahabu hii leo tanzania

Mgodi wa Dhahabu wa Geita

Sasa huu ndio mkoa maarufu zaidi kwa upatikanaji na uchimbwaji wa madini ya dhahabu mkoa huu unapatikana kaskazini-magharibi mwa Tanzania, karibu na Mwanza, vyanzo vya madini hayo inasadikika ni kutoka kwenye shimo la wazi la Nyankanga na migodi miwili ya chini ya ardhi (Star na Comet pamoja na Nyankanga).

Mgodi wa Dhahabu wa North Mara

Mgodi huu unasifika kwa uwezo wake wa kuzalisha dhahabu safi na nyiongi mgodi unapatikana katika wilaya ya Tarime mkoani Mara, karibu kilomita 100 mashariki mwa Ziwa Victoria na 20km kusini mwa mpaka wa Kenya.

New Luika Gold Mine

Mgodi huu unajulikana kwa kazi yake ya kuzalisha dhahabu bora na mgodi umekuwepo nchini zaidi ya miaka 30 hivyo umechangia pato la taifa kwa kiasikikubwa mgodi huu unapatikana katika Wilaya ya Songwe, Kusini-Magharibi mwa Tanzania, takriban kilomita 700 kusini-magharibi mwa Dar es Salaam

Hitimisho

Kama wewe ni mfanyabiashara aua unataka kufanya biashara ya dhahabu unatakiwa kuwa updated kuhusiana na wapi Dhahabu inapatikana kwa wingi nchini tanzania, Soko la dhahabu ni mojawapo ya masoko yenye high volatility nchini kwetu tanzania, Mabadiliko haya ya bei kila mara yanasababishwa na masoko makubwa ya kudunia au nguvu za uhitaji na upatikanaji wa dhahabu yenyewe nchini.

Follow on Facebook Follow on YouTube Follow on WhatsApp Follow on Telegram
Share. Facebook Telegram WhatsApp Copy Link
Previous ArticleBei ya Dhahabu hii leo tanzania
Next Article Utendaji wa Migodi ya Dhahabu nchini Tanzania

MAKALA ZINAZOHUSIANA

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la Dar es salaam Stock Exchange (DSE)

June 3, 2025

Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka Alibaba (China) Hatua kwa Hatua

June 3, 2025

Aina za mikopo CRDB Bank | Mikopo ya CRDB

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo CRDB Bank

June 3, 2025

JINSI YA KUOMBA MKOPO NMB KWA WAJASIRIAMALI

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Halmashauri (10% kwa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu)

June 3, 2025
Biashara
Biashara

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la Dar es salaam Stock Exchange (DSE)

By Wikihii MediaJune 3, 20250

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la DSE – Dar es salaam Stock Exchange Uwekezaji katika…

Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka Alibaba (China) Hatua kwa Hatua

June 3, 2025

Aina za mikopo CRDB Bank | Mikopo ya CRDB

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo CRDB Bank

June 3, 2025

JINSI YA KUOMBA MKOPO NMB KWA WAJASIRIAMALI

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Halmashauri (10% kwa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu)

June 3, 2025

wikihii media

  • Disclaimer
  • Kuhusu wikihii
  • Sera ya faragha
  • Sheria ya Matumizi
  • Wasiliana na wikihii

Wikihii Services

  • Michezo
  • Forex Tanzania
  • Leo ktk Historia
  • Kipimo cha Mimba
  • Matokeo ya Mtihani

Wikihii Newsletter

Subscribe kwenye email list wikihii kupata Updates za Ajira punde tu Mara baada ya Ajira kutangazwa.

© 2025 wikihii.com Designed by Wikihii Media.
  • Cookies Policy
  • Wordpress Website Service

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Ad Blocker Enabled!
Ad Blocker Enabled!
Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors. Please support us by disabling your Ad Blocker.