Technical Sector – Education (TSO-Education) – Nafasi 08 (BRAC) – Septemba 2025
Madhumuni ya Kazi
TSO-Education atasaidia kupanga, kutekeleza na kudhibiti ubora wa AIM education pathway: kuandaa/kuhuisha maudhui ya mitaala, miongozo ya walimu, mafunzo ya walimu na uongozi wa shule (SIPs), na kujenga uwezo wa timu za programu ili kuhakikisha ujifunzaji jumuishi unaozingatia jinsia na mazingira salama ya kujifunzia kwa VYAs/AGs (umri 12–17).
Majukumu Muhimu
Usaidizi wa Kiufundi
- Kushiriki hatua za utambulisho (community/youth/parent meetings) na maandalizi ya MoU na wizara/mamlaka za elimu na shule.
- Kutengeneza/kupitia/kuboresha miongozo ya walimu, maudhui ya somo, na moduli za gender-responsive pedagogy, usimamizi wa shule & mipango ya uboreshaji (SIP).
- Kuandaa miongozo ya peer mentors, vikundi vya usaidizi na tutoring; kusaidia utambuzi wa Teacher Champions.
- Kusaidia mifumo ya uhamisho wa ruzuku/gharama za shule kwa AGs na ufuatiliaji wake.
Uendeshaji wa Moja kwa Moja
- Kufundisha PAs, walimu na uongozi wa shule juu ya pedagojia jumuishi, mentorship na tutoring; mafunzo ya SIP kwa SMC/PTA.
- Kufuatilia kila mwezi utekelezaji wa shughuli za elimu shuleni kwa ubora wa matokeo.
- Kutambua mapengo ya ujuzi kwa watendaji na kupanga hatua za maboresho.
Uratibu, Mipango & Ufuatiliaji/Tathmini
- Kuratibu na walimu, wakuu wa shule, SMC/PTA, maafisa elimu wa serikali, na watoa huduma mbadala za elimu.
- Kuchangia usanifu wa mfumo wa M&E na kutumia matokeo kuboresha mpango wa mafunzo/utekelezaji.
- Kuwasilisha mrejesho kwa maafisa elimu kulingana na makubaliano ya MoU.
Uandishi wa Ripoti & Mawasiliano
- Kuchangia ripoti za programu, case studies, na most significant change stories.
- Kusaidia uingizaji na ubora wa data kwenye MIS (manual & digital – BInsight) na kuwasilisha ripoti kwa wakati.
Sifa za Mwombaji
- Elimu: Bachelor/Postgraduate katika Education; au International Development/Gender/Sociology/Anthropology/Social Sciences.
- Uzoefu: Miaka 3–5 katika mafunzo ya walimu, uundaji wa miongozo/mitaala; GESI, ujumuishaji wa kijamii, ushirikishaji wa jamii/shule; SBCC, advocacy na mobilization.
- Ujuzi: Utayarishaji wa training materials, capacity building, facilitation; uandishi wa ripoti; kompyuta & uwasilishaji; uwezo mzuri wa uratibu/negotiation; uelewa wa SRHR na mbinu shirikishi zinazomlinda msikilizaji/oc.
Safeguarding
Kusimamia utekelezaji wa sera za Safeguarding; kukuza uelewa miongoni mwa timu; na kufuata utaratibu wa kuripoti matukio.
Jinsi ya Kutuma Maombi
Tuma CV na barua ya nia (taja alama za elimu, miaka ya uzoefu, mshahara wa sasa/unaotarajia) kwa: bimcf.tanzania@brac.or.tz. Subject: Technical Sector – Education (TSO) – [Region]. Mwisho: 26 Septemba 2025.
⚠️ Angalizo: Wikihii haikusanyi ada ya ajira. Epuka udanganyifu. Kwa ajira zaidi, tembelea Ajira Mpya Tanzania au ungana nasi WhatsApp: Wikihii Updates.