Exciting Job Opportunities at PAPU/TCRA: Nafasi 3 (Arusha) – Septemba 2025
Intergovernmental / AU Specialized Agency
Finance & Administration (P4)
Accounts (GSA3)
Security & Safety (P2)
Chanzo RasmiTCRA → Vacancies
PDF RasmiPakua Tangazo (PDF)
Barua Pepe ya Maombivacancy@tcra.go.tz
Wasiliani TCRAMawasiliano Towers, 20 Sam Nujoma Rd, P.O Box 474, Dar es Salaam • +255 22 2199760-9
Muhtasari wa Nafasi
1) Head Finance and Administration Department — P4
- Kitengo: General Secretariat of PAPU
- Eneo la Kazi: Arusha (Tanzania)
- Kuanzia: Oktoba 2025
- Tarehe ya Tangazo: 14/09/2025 • Deadline: 20/09/2025
2) Accounts Technician — GSA3
- Kitengo: Administration & Finance Dept. (anaripoti kwa Accounts Officer)
- Eneo la Kazi: Arusha (Tanzania)
- Kuanzia: Oktoba 2025
- Tarehe ya Tangazo: 14/09/2025 • Deadline: 20/09/2025
3) Security and Safety Officer in the Cabinet Office — P2
- Kitengo: General Secretariat of PAPU
- Eneo la Kazi: Arusha (Tanzania)
- Tarehe ya Tangazo: 14/09/2025 • Deadline: 20/09/2025
Jinsi ya Kutuma Maombi
Tuma CV na barua ya nia kwa vacancy@tcra.go.tz. Tafadhali taja: alama za elimu, miaka ya uzoefu, mshahara wa sasa/unaotarajia, na andika Subject yenye jina la nafasi unayoomba. Maelekezo ya ziada na sifa za kila nafasi yapo kwenye ukurasa wa TCRA Vacancies.
⚠️ Angalizo: Deadline ni 20 Septemba 2025. Wikihii haikusanyi ada ya ajira. Epuka udanganyifu. Kwa ajira zaidi: Ajira Mpya Tanzania au ungana nasi WhatsApp: Wikihii Updates.