Wikipedia ya kiswahili ni nini
Wikipedia ya Kiswahili ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiswahili.
Wikipedia ya Kiswahili ilianzishwa 2003, na imefikia makala zipatazo elfu tisini na na nane mia sita thelathini na tatu 98,633, idadi inayoifanya iwe Wikipedia ya Sabini na sita 76 (kati ya 341 zilizo hai) kwa hesabu ya makala zote.
Wikipedia ni kamusi maarufu na elekezi kuna kila kitu utakachohitaji kukifahamu kuanzia makala, historia, watu mashuhuri, watu maarufu pamoja na makala zote zinazokuwa na mashiko kwa wasomaji.

Jinsi ya kuipata wikipedia ingia google kisha andika wikipedia then bofya search hapo results zitakazokuja bofya link ya kwanza ambayo itakua wikipedia.com na moja kwa moja utaweza kuaccess kwenye website au library hii kubwa kabisa duniani.
Jinsi ya kutumia wikipedia ni rahisi utasearch kwenye top search bar makala yoyote, mtu yoyote, taarifa yoyote, historia yoyote na utaweza kupata taarifa hizo moja kwa moja kwenye kifaa chako kama ni smartphone au laptop au tablet.

