Close Menu
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook X (Twitter) Instagram
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook YouTube WhatsApp
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
wikihii.comwikihii.com
Home » Biashara » Forex
Forex

Ukweli kuhusu biashara ya forex trading

Mambo usiyoyajua kuhusu forex
Sponsored By: MPG ForexApril 1, 2025No Comments4 Mins Read
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Share
Facebook Telegram WhatsApp Copy Link

Kwenye hii article tunaenda kukupa maelekezo ya siri za forex biashara ambayo imefichwa (inajulikana na wachache) kwa sababu ya sifa za kuwa na utajiri mkubwa endapo kama utaifahamu vzr hii biashara ya forex, basi kaa tayari kwa sababu safari ya mafunzo inaanza sasa, na tunaanza na ukweli kuihusu biashara ya forex trading

Forex tunayoizungumzia hapa tunaifanya kupitia platform maalum kama vile Metatrader4, Metatrader5 au Tradingview, na tunatumia madalali wa forex (brokers) maalum kununua na kuuza pesa za nchi mbalimbali (currency trading -forex).

Kwenye masoko ya forex bei zinapanda na kushuka mara kwa mara kitendo hichi kwenye trading tunakiita market volatility na kimsingi hapo ndipo forex trader anapoweza kutengeneza pesa akiwa na maarifa ya forex trading kwa sababu forex tunaifanya kwa kufanya mambo mawili tu kuuza na kununua (buy and sell), swali linakuja unauza wakati gani?, au unanunua wakati gani?, majibu yako unayapata kwenye paragraph inayofuata.

Soma Hii: BIASHARA YA FOREX PDF

Mpango mzima kwenye forex ni kwamba unanunua pale unapohisi bei itapanda – ikipanda kweli unapata faida wakati huohuo kama bei ikishuka unapata hasara, Lakini pia unauza pale unapohisi kwamba bei itashuka -ikishuka kweli unakuwa unapata faida na wakati huohuo ikiwa inapanda unakuwa unapata hasara.

Kinachotakiwa kwenye hii biashara ya forex ni kufanya predictions sawasawa, kwa sababu kitu pekee ambacho ni naamini ni kweli ni kwamba bei ikienda upande wako kama umenunua au umeuza basi unapata faida tena kadri bei inavyozidi kwenda upande wako wa mtaji wako unakuwa unaendelea kupanda direct kwenye metatrader platforms,

Kitu kimoja twende sawa ninaposema prediction au kuhisi kama bei itapanda au itashuka hii sio bahati nasibu, na wala sio betting, kwenye forex tunahisi bei itapanda au kushuka kwa kutumia mbinu zake maalum za kitaalamu na nyingine za kiuchumi zinazotambulika kufanya uchambuzi kwenye masoko ya forex.

Maana ya Forex pairs

Kwenye forex tunachotrade hasa ni pairs, mfano wa pair ni kama GBPUSD, EURUSD, XAUUSD, USDJPY na nyingine nyingi cha msingi hapa ni kwamba kuna MINOR PAIRS na MAJOR PAIRS, yaani pairs kubwa na ndogo,

Tuchukulie mfano wa GBPUSD PAIR – hii ni pair ambayo inajumuisha pesa za nchi mbili tofauti kuna GBP ambayo ni kifupi cha British Pound, halafu kuna USD ambayo ni kifupi cha United States Dollar, Pesa au currencies hizi mbili zinatrade against each other, yani GBP akiwa anapanda wakati huohuo USD anakuwa anashuka na Viceversa its true.

Kupanda au kushuka kwa bei katika soko lolote kunasababishwa na mambo mengi inaweza kuwa news, inaweza kuwa sera za benk kuu ktk nchi husika, inaweza kuwa hali ya vita au matukio mengine yanayoweza kuathiri masoko ya currencies (forex), Soko la forex linafanya kazi siku 5 za wiki hii ina maana masoko ya forex hayafanyi kazi weekend.

Session zilizopo kwenye forex

Kuna masoko mbalimbali ya kidunia ya forex hapa sasa nazungumzia market sessions, hapa tuna masoko makubwa manne duniani kote ambayo ni LONDON SESSION, NEWYORK SESSION, SYDNEY SESSION na TOKYO SESSION.

Hizo session hapo juu ndio ufunguo wako kwa sababu hizo session ndio zinakuonesha kwamba mabenk ya United Kingdom (UK) sasa yamefunguliwa ikiwa ni London session, au Mabenki ya USA sasa yamefunguliwa ikiwa ni NY session na kadhalika wakati huohuo kwenye trading tunatakiwa kufanya bishara wakati ambao traders wengi wapo live online kwa sababu tunahitaji Volume ya traders wakiwa wengi maana yake kutakua na nguvu kubwa ya kuweza kupush na kwenda uelekeo fulani (uptrend, Downtrend).

Soko la forex lipo huru mtu yeyote anaweza kufanya trading kinachotakiwa ni PC/Laptop yako na access ya internet everytime, lakini sasa ni wakati wa kuwajua wahusika wakubwa kwenye masoko ya forex hapa namaanisha watu au makampuni ambayo nayo yanaishi kwa kufanya forex trading kama ambavyon wewe unayesoma hii makala unatamani kuishi kwa kufanya forex Wahusika wakubwa ni Benki mbalimbali, Makampuni yanayofanya kazi ya ku manage mitaji mikubwa kitaalamu tunayaita HEDGE FUNDS MANAGEMENT COMPANIES, Forex Brokers wenyewe, Serikali yoyote ile itahusika kwenye forex kupitia sera mbalimbali za kiuchumi au kupitia benki kuu ambayo inajulikana kwa uwezo wake wa kushusha au kupandisha interest rate (riba) ambayo hupelekea volatility kubwa sana kwenye soko husika.

Platform zinazotumika kwenye forex

Kwenye trading tunatumia platforms maalum kwa ajiri ya ku trade hapa namaanisha METATRADER4 (MT4) na METATRADER5 (MT5) Hizi ni platform maalum kwa ajiri ya kuingia na kutoka kwenye trade pamoja na kufanya trade management kuweka Stop Loss, Take profit na kadhalika, Lakini ili tufungue trade (position) tunatakiwa kuwa na account real kutoka kwa dalali wa forex (BROKER) hapa kuna machaguo mengi hawa forex brokers wapo wengi sana kwa mfano kuna TD365, FBS, XM, EXNESS List inaendelea kwa sababu wapo wengi sana cha kuzingatia hapa ni kwamba kila broker anatofautiana na mwingine interms of services offered, kwa hiyo ni vzr kusoma na kuelewa conditions a broker kama zitakufaa kabla ya kufungua account na broker huyo,

Itaendelea hivi karibuni

biashara ya forex
Follow on Facebook Follow on YouTube Follow on WhatsApp Follow on Telegram
Share. Facebook Telegram WhatsApp Copy Link
Previous ArticleUtendaji wa Migodi ya Dhahabu nchini Tanzania
Next Article Jifunze forex kwa kiswahili pdf

MAKALA ZINAZOHUSIANA

Biashara ya forex jamii forum

Sponsor: MPG ForexApril 1, 2025

Vitabu vya forex kwa kiswahili pdf

Sponsor: MPG ForexApril 1, 2025

Jifunze forex kwa kiswahili pdf

Sponsor: MPG ForexApril 1, 2025

Jinsi ya kufanya forex trading mwanzo mwisho

March 31, 2025
Biashara
Biashara

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la Dar es salaam Stock Exchange (DSE)

By Wikihii MediaJune 3, 20250

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la DSE – Dar es salaam Stock Exchange Uwekezaji katika…

Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka Alibaba (China) Hatua kwa Hatua

June 3, 2025

Aina za mikopo CRDB Bank | Mikopo ya CRDB

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo CRDB Bank

June 3, 2025

JINSI YA KUOMBA MKOPO NMB KWA WAJASIRIAMALI

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Halmashauri (10% kwa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu)

June 3, 2025

wikihii media

  • Disclaimer
  • Kuhusu wikihii
  • Sera ya faragha
  • Sheria ya Matumizi
  • Wasiliana na wikihii

Wikihii Services

  • Michezo
  • Forex Tanzania
  • Leo ktk Historia
  • Kipimo cha Mimba
  • Matokeo ya Mtihani

Wikihii Newsletter

Subscribe kwenye email list wikihii kupata Updates za Ajira punde tu Mara baada ya Ajira kutangazwa.

© 2025 wikihii.com Designed by Wikihii Media.
  • Cookies Policy
  • Wordpress Website Service

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Ad Blocker Enabled!
Ad Blocker Enabled!
Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors. Please support us by disabling your Ad Blocker.