Wito Wa Usaili Wa INEC 2025: Orodha Ya Waliochaguliwa Kwa Uangalizi Wa Uchaguzi
Tanzania inajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, na Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) imeanza kutangaza majina ya wagombea waliopitishwa kwa hatua ya usaili. Wagombea hawa watakuwa sehemu ya timu ya uangalizi na usimamizi wa uchaguzi, kuhakikisha mchakato unakuwa huru, wa haki, na uwazi.
Kila halmashauri na jimbo nchini imeanza kuchapisha orodha za wagombea waliopitishwa. Usaili huu ni sharti kabla ya wateule kuanza kazi zao za uangalizi. Orodha hii itakuwa ikisasishwa mara kwa mara kadri maeneo zaidi yanavyotoa taarifa za mwisho.
Baadhi ya Halmashauri na Majimbo Yaliyotoa Orodha za Usaili
Hii hapa orodha ya majina ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura 2025.
1. Jimbo la Rombo
2. Wilaya ya Itigi
3. Jimbo la Bukoba
4. Jimbo la Mwanga
5. Jimbo la Lindi Mjini
6. Jimbo la Newala Mjini
7. Longido
8. Bagamoyo
9. Mbeya Vijijini
10. Ngorongoro
11. Kisarawe
12. Jimbo la Mtumba
13. Maswa
14. Dodoma Mjini
15. Ndanda
16. Lilindi
17. Buchosa
18. Mbulu
19. Manyoni
20. Musoma Vijijini
21. Wilaya ya Nkasi
22. Korogwe
23. Pangani
24. Kilosa
25. Mikumi
26. Handeni
27. Hai
28. Mkinga
29. Kasulu Vijijini
30. Mtwara Mjini
31. Buhigwe
32. Tabora
33. Mkuranga
34. Ikungi
35. Singida
36. Karatu
37. Uvinza
38. Kigoma kusini
39. Mafia
40. Babati
41. Gairo
42. Lushoto
43. Same Magharibi
44. Nanyamba
45. Kibaha
46. Kibiti
47. Morogoro Mjini
48. Same Mashariki
49. Chalinze
50. Bwilingu
51. Kishapu
52. Kakonko
53. Siha
54. Bumbuli
55. Simanjiro
56. Kitwai
57. Orkesumet
58. Endonyongijape
59. Langai
60. Ruvu Remit
61. Loiborsoit
62. Ngorika
63. Msitu wa Tembo
64. Naisinyai
65. Mirerani
66. Endiamtu
67. Shambarai
68. Oljoro
69. Komolo
70. Terrat
71. Emboreet
72. Loiborsiret
73. Masasi Mjini
74. Gairo
75. Muhambwe
76. Vunjo
77. Moshi dc
78. Nyamagana
79. Mwanza
80. Chato kasikazini
81. Arusha Mjini
82. Kilindi
83. Moshi Mjini
84. Kigamboni
85. Nachingwea
86. Nyasa
87. Kilolo
88. Kibakwe
89. Mpwapwa Mjini
90. Missenyi
91. Kinondoni
92. Ileje
93. Kibondo
94. Bunda Mjini
95. Magu
96. Butiama
97. Segerea
98. Ukonga
99. Kivule
100. Ilala
101. Iramba
102. Njombe
103. Morogoro DC
104. Nzega
105. Kaliua
106. Chamwino Dabalo
107. Chamwino Mvumi
108. Chamwino Haneti
109. Chamwino Zajilwa
110. Chamwino Segala
111. Chamwino Itiso
112. Ubungo na Kibamba
113. Mbinga Mjini
114. Temeke, Mbagala na Chamazi
115. Kondoa
116. Bahi
Muhimu Kujua
- Wagombea waliochaguliwa wanapaswa kuhudhuria usaili katika tarehe na sehemu zilizotajwa na kila halmashauri/jimbo.
- Uchaguzi wa mwaka huu unatarajiwa kuwa huru, wa haki na uwazi, hivyo ushiriki wa wagombea waliopitishwa ni muhimu katika kuhakikisha malengo haya yanafanikiwa.
- Orodha itasasishwa mara kwa mara kadri taarifa mpya zinavyopatikana kutoka halmashauri na majimbo mbalimbali.
Kwa wale waliopata nafasi hii, ni wakati wa kujiandaa kikamilifu na kufuata maelekezo ya INEC ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unakuwa wa ufanisi.
Jiunge na Mijadala kuhusu Kazi Hizi
