Jinsi ya kumfanya mwanaume akupe pesa zake ni art/sanaa haitakiwi mtoto wa kike unatumia nguvu, au udangganyifu kupata pesa kwa mpenzi wako hii itakuondolea uaminifu kwenye mapenzi yenu, Kuna mambo ambayo mwanamke ukimfanyia mpenzi wako mwenyewe anakupa pesa yake kutokana na kuthamini heshima yako au unyenyekevu wako, Yafuatayo ni mambo ambayo yanaweza kumfanya mpenzi wako akupe pesa.
Usijishushe, usimwambie shida zako
Wanaume wanampenda mwanamke jasiri na mwenye uvumilivu na unyenyekevu. ukianza kumtangzia shida mapema anakuona hauwezi kuvumilia na hauna stara hii inamfanya mwanaume akushushe sana hata kama wewe ni mzuri sana, Unapoongea na mwanaume wako jaribu kumpa mipango kadha wa kadha let say unajifanya kama unataka kufungua biashara yoyote ndogondogo na mtaji tayari unao.
Mwanaume anapoona unajishughulisha, unajibidiisha, unajitahidi mwenyewe inakuwa rahisi sana kukupa msaada wake, mwanaume anayempenda mpenzi wake hawezi kuacha kumsapoti kwenye mambo anayofanya, na hapa kuna mtego mkubwa sana mwanaume ni kiumbe wa ajabu anapenda kukusaidia wakati huohuo hataki kuombwa hovyo pesa,
Mpende kwa dhati
Hili lipo wazi kabisa mwanaume anatoa hela sehemu anapoona kuna upendo wa dhati na kwa bahati mbaya huwezi ku fake upendo wa dhati (mtu anayekupenda kweli utajua tu), Mwanaume ni kiumbe mwenye akili na imekua hivyo tangu mwanzo wa dunia mwanaume anauwezo wa kujua kama anapendwa kweli au anadanganywa na trust me mwanaume akigundua huna mapenzi ya dhati itakua ngumu kupata pesa yake, kwahiyo point ya msingi mpende bwana wako usimuigizie (bongo muvi)
Eleweka (acha kona kona)
Tumeshakubaliana kwamba mwanaume hasumbuliwi hovyo kuombwa pesa kila mara hiyo tumeikataa, sasa mpango mzima ni kwamba utaomba pesa kwa mpenzi pale utakapokuwa wewe mwenye umefika mwisho (options zote zimefeli), mashosti wote umewacheki wameshindwa kukusaidia kwa kipindi hicho ndio sasa THE LAST OPTION inakua baby lover wako.
Soma Hii: Siri za kumfanya Mwanaume Kumsahau Ex wake!
Hapo usiwe tena una kona kona nyingi sijui hivi mara vile nenda straight t the point mwambie una cgangamoto gani na kwmba unahitaji msaada kwa kiasi gani kuwa na plan kabisa usikurupuke, mwanaume ambae hasumbuliwi kuhusu pesa halafu siku akipata taarifa kwamba una changamoto huwa lazima akupe pesa hapo hata kama hana pesa kwa wakati huo anaweza kwenda kukopa ili tu akuokoe na aoneshe kwako kwamba yeye ni mwanaume (protector)
Mruhusu mwanaume afahamu ukweli wako
Mpe nafasi mpenzi wako akufahamu kama ndio kwamba mnaanza mahusiano mpe ukweli wako akufahamu, hii inasaidi akijua ukweli wako ni rahisi ukiwa na changamoto kumcheki na akakupa msaada, lakini unakuta mwanamke una SIRI elfu tatu miambili na senti senti zake, mara hivi mara vile na kumbuka mwanaume yeyote yule mwenye pesa ni SMART kichwani anakusoma nmapema kabla hujajua na anafahamu kwamba unamficha mambo fulani (mwanaume hapendi kufichwa)
Lakini pia akishakupa pesa mwanamke kuwa shukurani, mfanye ajione kweli amesaidia kitu kwenye mambo yako hii itamfanya ajione yeye ni wako hivyo ni rahisi kukusaidia tena na tena.
Soma Hii: SMS 50 Za Kumpandisha Nyege Mpenzi
Kumbuka mapenzi sio pesa
Usiwe kila wakati unazungumzia pesa unataka pesa kutoka kwake, mwanamke kuwa mtulivu muache mwanaume akufanyie anachotaka, mwanaume anatafuta mapenzi ya kweli na wanaume wengi wamekalili kwamba mwanamke mpenda pesa ni malaya, sasa kuwa makini sana unaweza kumpepelusha mwanaume wa maana sana kwenye maisha yako.
Kumbuka mwanaume akitambua kwamba unampenda kwa dhati basi kukupa pesa inakua huna haja ya kumuomba anajua wewe ni mpenzi wake na anajua wajibun wake kama mwanaume kukusaidia financially.
Onyesha mapenzi ya dhati (usilete bongo muvi)
Kama mnapendana ni rahisi kutatua changamoto zenu wenyewe epuka mahitaji ya starehe mwanaume ataona wewe bado mshamba, utamuomba pesa kwa ajiri ya mambo ya maana na kweli unaenda kufanyia vitu vya maana then siku moja unamuonesha kitu ulichofanya hapo unakua umemloga mwanaume siku nyingine ukiomba persa anakupa ni kwa sababu umejenga trust
Soma Hii: Jinsi ya kumvutia Msichana na Kumfanya Akutamani kimapenzi
Mjumlishe kwenye mipango yako
Njia nyingine ya kumfanya mwanaume akupe pesa ni kujenga mipango ya pamoja ya baadaye. Sio kila siku unaomba pesa kwa ajiri yako au sometimes wanawake wengine wanataka mwanaume asaidie familia yake yote,
Kuwa mbunifu wa mapenzi wakati mwingine muombe pesa kisha itumie pesa hiyohiyo kumnunulia zawadi fulani au kumtoa OUT, hii itamfanya mwanaume akuone ni wa kipekee sana na atakuwa huru kukupatia pesa yake siku nyingine akiamini maamuzi yako.
Kuwa mvumilivu na muelewa
Wanawake tumekubaliana kwamba hatuombi pesa kwa mwanaume kizembe na hovyo hovyo hatujishushi mapenzi ni feelings na commitment hivyo hii itabidi kuwa muelewa pindi mambo yanapoenda tofauti na ulivyotarajia, sio umeomba pesa kwa mpenzi wako halafu amekwmbia hana kwa wakati huo ukaanza kutoa maneno ya kejeli/dharau huu ni ushamba kwa mwanamke anayejielewa na anayesoma hii article,
Kuwa muelewa na muelewe mpenzi wako pindi anapokua hana ikiwezekana msaidie yeye halafu subiri huyo mwanaume mambo yamnyookee utapewa pesa kila utakapohitaji, sometimes mwanaume anaweza kukutega akajifanya hana akuone uta react vipi sasa make sure hainasi kwenye huu mtgo wao (wanaume tumewashtukia).