Punyeto ni moja ya solution ya haraka kwa wanaume wanaoanza kubarehe na hivyo wengi tumepitia huko tunafaham ni kwanini kijana anaanza kupiga punyeto au kujichua na usipokuwa makini inaweza kupelekea ukawa mtumwa wa punyeto yani kila ukikutana na demu mtaani unataka kuja ghetto kumpigia punyeto hii ni hali mbaya sana maana kujichua kunaendana na kuvuta hisia au picha ya mtu ambae hayupo na wewe na hapo ndipo matatizo ya kisaikolojia yanapoanzia.
Kuna njia nyingi sana zinazotumika kujichua / kupiga punyeto, na amini usiamini njia zote hizi ni zina madhara makubwa kwa afya ya akili pamoja na afya ya uume, sabuni zina kemikali, mafuta yana kemikali, hakuna njia sahihi itakayokuacha salama kuhusu kupiga punyeto au kujichua mwenyewe.
Soma Hii: Jinsi ya kupiga punyeto bila madhara
Madhara ya kujichua kwa mwanaume
- Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na calcium ndani ya mwili wako.
- Huleta matatizo kwenye neva neurone ndani ya mwili na kupelekea matatizo ya macho kutokuona vizuri
- Inaweza kusababisha mwanaume akawa hanithi (uume kushindwa kusimama)
- Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara
- Husababisha mfadhaiko (stress) unakuwa unawaza sana kwa sababu unazoea kuvuta hisia za vitu ambayo havipo
- Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua
- Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.
- Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho
- Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.
- Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your sperm count) kama matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.
- Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo kama hutaiacha tabia hii haraka.
- Punyeto husababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, ni vigumu kuwa na akili ya utulivu na kukumbuka vitu kama tayari umeshakuwa teja wa punyeto.
- hutaona kuridhika katika kitendo hicho, kadri unavyofanya ndivyo unavyoendelea kuhitaji zaidi na zaidi mpaka mwisho unakuwa hanithi kabisa bila kujitambua
- Punyeto inaongeza aibu, inapunguza uwezo wa kujiamini. Wengi waliozoea kujichua hata kutongoza kwao huwa ni kazi kubwa mno kiasi wengine huona bora kuendelea kujichua kuliko kutongoza mwanamke.
- Punyeto huchochea mapenzi ya jinsia moja hasa mashuleni, vyuoni na kwenye mahoteli na mwishowe hupelekea kusambaa kwa magonjwa mengi ya zinaa.
- Punyeto inamaliza nguvu za kiume, kama unapenda kujichua basi sahau kuwa na nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa miaka ya sasa lakini chanzo kikuu ni vijana wengi wa kiume kuanza kujichua tangu wakiwa mashuleni.