Watu wengi sana wamepitia swala la kupiga punyeto/kujichua na hivyo kupelekea vijana kupata matatizo mbalimbali yanayosababishwa na kujichua, kwa bahati nzuri kuna njia ambayo ni kutumia vyakula vya aina fulani ambavyo vinasaidia kuondoa madhara yaliyoachwa na punyeto
Kwenye hii article tunaenda kuangalia aina mbalimbali za vyakula ambavyo vinasaidia kupunguza madhara lakini kwanza tuangalie madhara ya kujichua/punyeto kwa kijana.
Kabla ya kuangalia Vyakula, Tuangalie kwnza madhara ya kujichua/punyeto
- Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na calcium ndani ya mwili wako.
- Huleta matatizo kwenye neva neurone ndani ya mwili na kupelekea matatizo ya macho kutokuona vizuri
- Inaweza kusababisha mwanaume akawa hanithi (uume kushindwa kusimama)
- Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara
- Husababisha mfadhaiko (stress) unakuwa unawaza sana kwa sababu unazoea kuvuta hisia za vitu ambayo havipo
- Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua
- Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.
- Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho
- Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.
- Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your sperm count) kama matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.
- Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo kama hutaiacha tabia hii haraka.
- Punyeto husababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, ni vigumu kuwa na akili ya utulivu na kukumbuka vitu kama tayari umeshakuwa teja wa punyeto.
- hutaona kuridhika katika kitendo hicho, kadri unavyofanya ndivyo unavyoendelea kuhitaji zaidi na zaidi mpaka mwisho unakuwa hanithi kabisa bila kujitambua
- Punyeto inaongeza aibu, inapunguza uwezo wa kujiamini. Wengi waliozoea kujichua hata kutongoza kwao huwa ni kazi kubwa mno kiasi wengine huona bora kuendelea kujichua kuliko kutongoza mwanamke.
- Punyeto huchochea mapenzi ya jinsia moja hasa mashuleni, vyuoni na kwenye mahoteli na mwishowe hupelekea kusambaa kwa magonjwa mengi ya zinaa.
- Punyeto inamaliza nguvu za kiume, kama unapenda kujichua basi sahau kuwa na nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa miaka ya sasa lakini chanzo kikuu ni vijana wengi wa kiume kuanza kujichua tangu wakiwa mashuleni.
Soma Hii: Madhara ya kujichua kwa mwanaume
Sababu za upungufu wa nguvu za kiume
- Vinywaji vyenye sukari nyingi kama soda
- Kuepuka kabisa ulaji wa vyakula vya mafuta haya yale mazuri
- Vyakula vyote vya kusindika viwandani
- Vyakula vya kusindikiza vinaharibu mazingira ya mwili
- Sumu mbali mbali kutoka kwenye mazingira
Pambana na madhara ya punyeto
- Epuka vinywaji vyote vyenye sukari nyingi,vya kusindika, vyenye vionjo vya sukari,rangi na ladha. Kula vyakula asili, nafaka ambayo haijakobolewa, matunda kwa wingi ambayo hayasagwa yenye nyuzi nyuzi nyingi na pia juice ya matunda na mboga za majani
- Usitumie Pombe pombe inakupa hamu au shauku ya kufanya tendo la ndoa lakini inakunyima uwezo wa kufanya tendo la ndoa!
- Ondoa mafuta mabaya yanayopunguza mzunguko wa damu hapa ni muhimu kufanya mazoezi kwa wing kukumbia, pushups na mazoezi ya push ups.
- Rudisha Virutubisho Vilivyopungua mwilini mwako hapa unaweza kuangalia mfano wako wa chakula kama unapata chakula safi na bora.
- Fanya mazoezi ya kutosha, mazoezi ni muhimu kwenye kupunguza mafuta yasiyokua na kazi katika mwili wako
- Ondoa Sumu mwilini kwa kutumia maji ya kunywa safi na salama pamoja na viondoa sumu.