Close Menu
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook X (Twitter) Instagram
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook YouTube WhatsApp
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
wikihii.comwikihii.com
Home » Makala
Makala

Nauli ya Treni ya Umeme ya SGR Dar – Dodoma

Updated:April 17, 20252 Mins Read
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Nauli mpya za Treni ya Umeme SGR Tanzania 2025
Nauli mpya za Treni ya Umeme SGR Tanzania 2025
Share
Facebook Telegram WhatsApp Copy Link

Nauli ya Treni ya Umeme ya SGR Dar -Dodoma

Watanzania tumeendelea kufaidi matumizi ya treni za kisasa kusafiri safari za ndani treni hizi ambazo ni “express train,” zinatoa huduma za kisasa na za haraka, Zimesaidia sana kuendesha uchumi wa nchi na kuharakisha maendeleo kwa kiasi kikubwa. Hadi sasa ni treni za abiria pekee ndio zimeshafika na zinafanya kazi kwa safari mbalimbali ndani ya nchi.

Ratiba ya Safari na Vituo Treni ya Umeme ya SGR Dar to Dodoma

Treni za Umeme za SGR zimeanza safari zake za Dar kwenda Dodoma  rasmi Julai 25, Mwaka jana. Treni hizi zinaanza safari Dar es Salaam saa 12:00 asubuhi na kufika Dodoma saa 3:25 usiku, ikimaanisha safari nzima itachukua saa tatu na dakika 25 pekee.

Treni hii itasimama Morogoro pekee kabla ya kuendelea na safari hadi Dodoma. Kwa abiria wanaosafiri na treni ya kawaida , safari zitaanza saa 3:30 asubuhi kutoka Dar es Salaam na kufika Dodoma zitasimama katika kituo cha Pugu.

Nauli ya Treni ya Umeme ya SGR Dar – Dodoma

Nauli za treni ya SGR zinatofautiana kuna madaraja tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya abiria husika kuna economy class, business class

Treni ya Kawaida

SAFARIDARAJAGHARAMA
DAR – DODOMAKAWAIDATsh 37,000

Treni ya Haraka (Express Train)

SAFARIDARAJAGHARAMA
DAR – DODOMADaraja la Biashara (Business Class)Tsh 70,000
DAR – DODOMADaraja la Juu (Royal Class)Tsh 120,000

Upatikanaji wa Tiketi za Treni ya Umeme ya SGR Dar – Dodoma

Tiketi za treni zote zinapatikana kwa njia ya mtandao (online) kupitia tovuti rasmi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na pia katika stesheni za SGR.

Soma Hii: Nauli mpya za Treni ya Umeme SGR Tanzania 2025

Nauli ya Treni ya Umeme ya SGR Dar Dodoma

Follow on Facebook Follow on YouTube Follow on WhatsApp Follow on Telegram
Share. Facebook Telegram WhatsApp Copy Link
Previous ArticleFaida na Hasara za kujichua mwanamke
Next Article Nauli mpya za Treni ya Umeme SGR Tanzania 2025

MAKALA ZINAZOHUSIANA

JINSI YA KUOMBA MKOPO WA MWAJIRIWA NMB BANK

June 3, 2025

Jinsi ya Kujiunga na GPSA Tanzania (Hatua kwa Hatua)

June 2, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo ESS Utumishi (Mfumo wa Employee Self Service)

June 1, 2025

Jinsi ya Kuangalia Password ya Email Yako (Kwa Gmail, Outlook na Yahoo)

June 1, 2025

Jinsi ya Kutumia Excel Kwa haraka

June 1, 2025

Jinsi ya Kusoma Bila Kusahau – Mbinu Bora za Kukuza Kumbukumbu na Ufahamu

June 1, 2025
Biashara
Biashara

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la Dar es salaam Stock Exchange (DSE)

By Wikihii MediaJune 3, 20250

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la DSE – Dar es salaam Stock Exchange Uwekezaji katika…

Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka Alibaba (China) Hatua kwa Hatua

June 3, 2025

Aina za mikopo CRDB Bank | Mikopo ya CRDB

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo CRDB Bank

June 3, 2025

JINSI YA KUOMBA MKOPO NMB KWA WAJASIRIAMALI

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Halmashauri (10% kwa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu)

June 3, 2025

wikihii media

  • Disclaimer
  • Kuhusu wikihii
  • Sera ya faragha
  • Sheria ya Matumizi
  • Wasiliana na wikihii

Wikihii Services

  • Michezo
  • Forex Tanzania
  • Leo ktk Historia
  • Kipimo cha Mimba
  • Matokeo ya Mtihani

Wikihii Newsletter

Subscribe kwenye email list wikihii kupata Updates za Ajira punde tu Mara baada ya Ajira kutangazwa.

© 2025 wikihii.com Designed by Wikihii Media.
  • Cookies Policy
  • Wordpress Website Service

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Ad Blocker Enabled!
Ad Blocker Enabled!
Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors. Please support us by disabling your Ad Blocker.