Kama wewe ni mfanyabiashara aua unataka kufanya biashara ya dhahabu unatakiwa kuwa updated kuhusiana na mabadiliko ya bei yanayoendelea sokoni kila dakika, Soko la dhahabu ni mojawapo ya masoko yenye high volatility nchini kwetu tanzania, Mabadiliko haya ya bei kila mara yanasababishwa na masoko makubwa ya kudunia au nguvu za uhitaji na upatikanaji wa dhahabu yenyewe nchini.
Kwenye hii article tunaenda kukuonesha source kubwa ya kuona namna jinsi bei za dhahabu zinavyobadilika in real time hivyo itakusaidi kuweza kufanya maamuzi kama ni kununua dhahabu au kuuza dhahabu
Source au Chanzo hicho kinakupa uwezo wa kuona bei za dhahabu katika aina tofauti, ikijumuisha bei ya dhahabu kwa Gram, Ounce,au kilo. Bei za dhahabu kutoka kote ulimwenguni hutolewa kwa kwenye hii source, Ikiwemo tanzania.

Hichi ni chanzo cha haraka kufahamu Bei ya Dhahabu real time katika sarafu zote kuu saa 24 za siku. Bei za Moja kwa Moja za Dhahabu katika Ounce na Gram, zote katika muda halisi katika sarafu zaidi ya 40.
Hii source chart yao au mfumo wao unapakia (update) bei ya dhahabu kila sekunde kwa haraka ili kukupa bei za muda huhuo na sahihi moja kwa moja. Ikiwa una nia ya uwekezaji wa dhahabu lakini huna uhakika kama ununue dhahabu au sarafu kutokana hujajua bei ya muda husika basi Bofya kitufe hapo chini kuona bei za dhahabu in real time
