Kikokotoo cha Pips (Pips Calculator)
Tumia kikokotoo hiki kujua thamani ya pip kwenye biashara zako, kulingana na ukubwa wa lot, currency pair, na bei.
Kumbuka: Thamani ya pip inabadilika kulingana na pair na bei ya soko. Matokeo haya ni ya makadirio tu.