Afisa Uhusiano wa Kikanda – KCB Bank (Septemba 2025)
Majukumu ya Kila Siku:
- Kusajili na kuvutia wateja wapya.
- Kuhakikisha akaunti mpya zote zinazofunguliwa zinazingatia taratibu za Know Your Customer (KYC) na Anti-Money Laundering (AML).
- Kufuatilia mwenendo wa mikopo binafsi (Personal Loan Schemes) katika tawi husika.
- Kudumisha na kusimamia uhusiano na wateja wa rejareja, pamoja na kufanya mauzo ya nyongeza kwa bidhaa na huduma mbalimbali za benki.
Taarifa za Kazi:
- Namba ya Kazi: 4841
- Kundi la Kazi: Usimamizi
- Tarehe ya Kutangazwa: 25 Septemba 2025, saa 11:33 jioni
- Mwisho wa Kutuma Maombi: 10 Oktoba 2025, saa 6 usiku
- Kiwango cha Elimu Kinachohitajika: Shahada ya Chuo Kikuu
- Ratiba ya Kazi: Muda wote (Full-time)
- Eneo: Tanzania, Jamhuri ya Muungano
Jinsi ya Kutuma Maombi:
Aina ya kazi: Muda wote (Full-time).
Kama unataka kuwasilisha maombi yako, tafadhalifuata kiungo kilichopewa hapa chini.
