Kipima Lot (Lot Size Calculator)
Tafadhali jaza maelezo hapa chini ili kujua ukubwa sahihi wa lot kwenye biashara zako za Forex kwa kuzingatia risk yako na stop loss.
Kumbuka: Makadirio haya yanazingatia pip value ya $10 kwa 1 lot kwenye currency pairs nyingi (kama EUR/USD). Kwa exotic pairs, pip value inaweza kuwa tofauti.