Low Spread Brokers with Zero Commission (2025)
Kama unafanya Forex trading, moja ya mambo muhimu ya kuzingatia ni gharama unazokatwa wakati wa kufanya biashara. Gharama hizi huja kupitia:
- Spread: tofauti kati ya bei ya kununua (Ask) na kuuza (Bid)
- Commission: ada ya moja kwa moja anayokatwa trader kwa kila lot
Kwa hivyo, low spread brokers with zero commission ni chaguo bora kwa traders wanaotaka kupunguza gharama na kuongeza faida.
Hapa chini tumepitia brokers 3 maarufu ambao wanatoa low spreads bila commission kwa akaunti maalum. Tumeangalia pia faida na mapungufu yao kwa mwaka wa 2025.
Exness – Raw Spread Bila Commission kwa Akaunti za Cent
Exness ni broker maarufu sana Afrika, hasa Tanzania. Inatoa spreads za chini sana na hakuna commission kwenye baadhi ya akaunti kama:
- Standard Cent Account – Hakuna commission
- Spreads kuanzia 0.3 pips
- App ya kisasa rahisi kutumia
- Inaruhusu malipo kupitia M-Pesa
Link ya usajili: Fungua Akaunti ya Exness
XM – Zero Commission + Tight Spreads kwa Akaunti ya Ultra Low
XM hutoa Ultra Low Account inayokuja na:
- Spreads kuanzia 0.6 pips kwa EUR/USD
- Hakuna commission kabisa
- Elimu bora ya bure (webinars & eBooks)
- Bonus za bila kuweka pesa kwa wanaoanza
Link ya usajili: Jiunge na XM
FBS – Zero Commission kwa Akaunti ya Standard na Cent
FBS inajulikana kwa kuwa rafiki kwa wanaoanza. Wanatoa:
- Standard Account: Hakuna commission
- Spreads zinaanzia 0.5 pips
- Minimum deposit ni $1 kwa akaunti za Cent
- App ya kisasa na rahisi kutumia
Link ya usajili: Fungua Akaunti na FBS
Low Spread Brokers with Zero Commission (2025)
Broker | Akaunti | Minimum Spread | Commission | Minimum Deposit |
---|---|---|---|---|
Exness | Standard Cent | 0.3 pips | Zero | $10 |
XM | Ultra Low | 0.6 pips | Zero | $5 |
FBS | Standard | 0.5 pips | Zero | $5 |
Hitimisho
Kama unatafuta broker wa low spreads + zero commission, chagua mmoja kati ya hawa watatu wa juu. Wote wanafaa kwa scalping, day trading na beginners ambao hawataki kulipia commission kubwa.
- Exness – Spreads chini sana, hakuna commission, inakubali M-Pesa
- XM – Ultra Low account bila commission, yenye education nzuri
- FBS – Rafiki kwa wanaoanza, spreads nafuu, app nzuri
🔗 Anza Sasa na Low Spread Broker
Unatafuta Broker? Compare Brokers Hapa →