Hadithi za kusisimua
Kuna hadithi za kawaida… halafu kuna hadithi za kusisimua – zile zinazokufanya usimame kidogo, usome kwa makini, na uhisie kila tukio kana kwamba upo ndani yake. Hizi ni simulizi zinazochanganya akili, kugusa moyo, na kukufanya usahau muda unapita. Ni za woga, mshangao, usaliti, mapenzi ya hatari, mafumbo ya ajabu, hadi matukio ya kushtua yasiyoelezeka.
Karibu kwenye ulimwengu wa Hadithi za Kusisimua, mahali ambapo kila mistari ni mlipuko wa hisia, na kila mwisho hauwezi kutabirika. Hapa siyo kusoma tu – ni kuishi hadithi!
Umejiandaa kweli? Jishike vizuri… maana haya siyo masimulizi ya kawaida.