Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke hadi mwenyewe Atake kulala na wewe
Kama kuna mwanamke unampenda sana lakini unashindwa kujua unaanzia wapi basi wikihii tuna majibu yako kaa vizuri kwa sababu kwenye hii post tunaenda kukuletea mbinu mbalimbali za kumtokea demu na asiweze kuchomoa kabisa.
Kumtongoza mwanamke yoyoye yule ni sanaa ambayo kwa bahati mbya sio wanaume wote tunaweza kuwa nayo, wanawake kama ambavyo tunawafahamu ni viumbe ambao wanapenda kujisikia vizuri, kujisikia kupendwa na kujihisi wao ni bora sasa ukiwa na uwezo wa kumsifia mwanamke kumfanya ajisikie maridadi basi hapo una nafasi nzuri zaidi kumpata.
Sio kazi kumsoma mwanamke. Wavulana wengi hukosea wakati wa kujaribu kutongoza mwanamke kwa sababu wanakua na haraka na papara ya kutaka kumtongoza. Wanasema mambo yote mabaya kwa wakati usiofaa, au wanaweka nia yao wazi mapema sana katika hatua ya kutaniana,
Tengeneza Bond kwanza na huyo mwanamke
Usifanye ajue kwamba unataka kumtumia tu kisha uachane nae. Mfanye ajiulize kuna nini akilini mwako. mwanaume unatakiwa usieleweke unafikiria nini – ni sanaa rahisi ya kumfanya msichana ashangae unachofikiria juu yake! hii itamfanya akuone huna tamaa, na unajiamini kama mwanaume.
Na wakati bado anashangaa juu ya nia yako, anajikuta tayari anazama kwako hawa viumbe wanampenda mwanaume kwa kitu kidogo sana hakikisha unaplay smart ukiwa kwenye dunia yao.
Mkaribie na mfahamu japo kidogo
Ikiwa unataka kumtongoza msichana, jambo la kwanza unahitaji kufanya ni kumjua vizuri zaidi. Usilazimishe sana kama kuna ugumu kwa sababu ukilazimisha kumfahamu mwanamke inaweza kumtisha na akakuepuka kabisa katika maisha yake.
Ikiwa ni rafiki wa kawaida au mtu unayefahamiana naye, zungumza naye na umjue vizuri zaidi. Mtumie SMS kila mara, na uwe mchangamfu na mwenye urafiki.
Soma: Mambo ya kuzingatia unapokuwa na mpenzi wako Usiku wa Kwanza
Hii ni hatua muhimu sana linapokuja suala la kujua jinsi ya kumtongoza mwanamke. Na hapa ndipo unaweza kujua ikiwa anakuchangamkia au anajitenga nawe. Unapozungumza naye mara kwa mara, jaribu kujua zaidi kumhusu na mambo anayopenda.
Mtumie SMS au zungumza naye mara chache kadri uwezavyo, mara chache kwa siku ni mwanzo mzuri, jaribu kushikamana naye juu ya jambo ambalo nyote wawili mnalopenda. tengeneza moments pamoja naye ili akiwa peke yake akuwaze na akufikirie zaidi
Pata muda wa kuchat nae kdg usiku
Njia bora ya kupata utulivu na urafiki wa karibu na msichana ni kwa kumtumia ujumbe usiku sana, wakati amemaliza kazi zake ametulia kitandani, hapo atakuwa na muda wa kufikiria unachomuambia na atakujibu kwa hisia za kweeli kwa sababu katulia hivyo hakikisha unatumia mbinu hii usiache usiku upite hivihvi bila kumchatisha demu unayemtokea.
Mchana ni mzuri kwa kuchat nae kuongea nae juu ya mambo mnayoshare kama interest, lakini usiku ni muhimu kwa sababu huu ndio wakati wa kuzungumza mahaba na story zote za kumpeleka mbali kihisia, usiku wa mahaba mazito.
Badilika kulingana na wakati
Hapa ndipo unapotakiwa kuwa smart lover, na kumfanya ashangae kuna nini akilini mwako. Kila wakati unapozungumza naye usiku au kutuma ujumbe mfupi kwake, uwe mcheshi na mwenye mahaba. Lakini unapokutana naye wakati wa mchana, usizungumze hata kidogo juu ya mambo romantic, hadi aanze yeye ambapo itamaanisha kwamba ni yeye ndio anapenda mambo romantic na hapo utakuwa tayari umeshajua udhaifu wake.
Soma: Siri za kumfanya Mwanaume Kumsahau Ex wake!
