Jinsi ya kupiga punyeto bila madhara
Hisia za kutamani kupiga punyeto huanza pale kijana anapobarehe au anapofikia umri wa kupevuka wakati huu ndipo mbegu za kiume (manii) huanza kuzalishwa katika mwili wa kijana wa kiume na kupelekea kuanza kuona hitaji la kufanya mapenzi sasa kutokana anakua bado hajui atafanya nini ili kumpeleka mwanamke ghetto hapo ndipo linakuja swala la kujichua/Punyeto.
Kutokana na maisha na tamaduni zetu wa afrika zilivyo hapo ndipo kijana huona hana namna zaidi ya kujichua pale anapokuwa hana mtu wa kujamiiana naye ili kupunguza hamu zake. na wakati mwingine kitendo hichi kinafanywa na watu wazima kbs sio vijana wanaobarehe peke yao.
Kupiga punyeto au kujichua ni kitendo ambacho huleta matatizo makubwa ya muda mrefu ambayo mengi yanahusu mambo hayohayo ya uzazi kubwa ni kupungua uwezo wako wa kufanya tendo la ndo
Soma Hii: Mambo ya kuzingatia unapokuwa na mpenzi wako Usiku wa Kwanza
Kabla ya kuangalia njia salama, Tuangalie kwnza madhara ya kujichua/punyeto
- Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na calcium ndani ya mwili wako.
- Huleta matatizo kwenye neva neurone ndani ya mwili na kupelekea matatizo ya macho kutokuona vizuri
- Inaweza kusababisha mwanaume akawa hanithi (uume kushindwa kusimama)
- Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara
- Husababisha mfadhaiko (stress) unakuwa unawaza sana kwa sababu unazoea kuvuta hisia za vitu ambayo havipo
- Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua
- Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.
- Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho
- Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.
- Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your sperm count) kama matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.
- Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo kama hutaiacha tabia hii haraka.
- Punyeto husababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, ni vigumu kuwa na akili ya utulivu na kukumbuka vitu kama tayari umeshakuwa teja wa punyeto.
- hutaona kuridhika katika kitendo hicho, kadri unavyofanya ndivyo unavyoendelea kuhitaji zaidi na zaidi mpaka mwisho unakuwa hanithi kabisa bila kujitambua
- Punyeto inaongeza aibu, inapunguza uwezo wa kujiamini. Wengi waliozoea kujichua hata kutongoza kwao huwa ni kazi kubwa mno kiasi wengine huona bora kuendelea kujichua kuliko kutongoza mwanamke.
- Punyeto huchochea mapenzi ya jinsia moja hasa mashuleni, vyuoni na kwenye mahoteli na mwishowe hupelekea kusambaa kwa magonjwa mengi ya zinaa.
- Punyeto inamaliza nguvu za kiume, kama unapenda kujichua basi sahau kuwa na nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa miaka ya sasa lakini chanzo kikuu ni vijana wengi wa kiume kuanza kujichua tangu wakiwa mashuleni.
Kuna njia nyingi za kupiga punyeto na nyingi zina madhara hasa wale wanaotumia sabuni zile zenye kemikali zikiingia kwenye mirija wa uume baadae utasikia maumivu makali kipindi cha kukojoa pia kipindi unapiga punyeto ukikaribia kufika mshindo hii ni mbaya kwa afya ya uume utaubana uume sana baadae misuli italegea ndiyo hupelekea ukipata mwanamke uume hausimami vizuri.
Soma Hii: Jinsi ya kurudisha uke uliolegea
Pia kuna ambao hupiga nyeto kwa kutumia mafuta ya kupaka hii nayo ina madhara maana mafuta mengi ya madukani yametengenezwa viwandani meamns yana kemikali. pia hii punyeto ya kuaangalia ponograff nayo ina madhara maana ukipata mpenzi inakupelekea kufika mshindo chap na uume kulala bila kuamka tena
Punyeto ambayo haina madhara kiafya
Punyeto pekee isiyokua na madhara ni hii Punyeto ya kumchukua NZI na Kumuweka kwenye mfuko mlaini kisha unaufunga mfuko ukiwa na NZI wake mwisho wa uume na watakavyokua wanaruka ruka na kukutekenya utasikia raha ya ajabu na kupelekea kumaliza haja zako vizuri bila madhara makubwa kiafya au kiakili.