Jinsi ya kuwa mweupe kwa njia asili
Kila mtu anataikiwa kuwa na muonekano mzuri mbele za watu uso kama uso ni sehemu muhimu ya kwnza ambayo inamtambulisha mtu hivy ni muhimu kuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia kitu, Kuna huu muonekano wa rangi ya chocolate huwa inavutia sana ikiwa ni mdada au hata mkaka ni rangi fulani hivi ambayo inapendezesha kisura kinakua kizuri sana.
Kwa bahati nzuri huu muonekano wa chocolate kuna namna unaweza kufanya ukaweza kuwa na muonekano huu wa rangi hii ya kuvutia na kupendeza, kwenye hii article tunaenda kuangalia mbinu zitakazoweza kukufanya uwe na muonekano mzuri wa kuvutia kwenye sura yako.
Ni muhimu kuzingatia mambo yote yaliyoainishwa kwenye mchanganyiko huu tunaoenda kuujadili ili mchanganyiko wake ufanye kazi kwenye sura yako, haya sasa kaa tayari kuufahamu mchanganyiko huu muhimu utakaokusaidia kufanya sura yako kuwa na muonekano wa chocolate.
Anza utaratibu maalumu ndani ya mwezi mmoja tu ndani ya huu mwezi kila siku kabla ya kulala unajipaka mchanganyiko ambao naenda kukuelezea hapo chini! lkn unatakiwa unajipaka na unakaa na huu mchnganyiko kwa takriban nusu saa kabla ya kwenda kuosha na maji ya uvuguvugu.
MCHANGANYIKO
Mchanganyiko huu ni natural na hauna madharakabisa kwenye afya ya mtumiaji unachotakiwa kufanya ni hivi unachukua maji ya uvuguvugu unayachanganya na Asali, Sukari, Maziwa yasiyowekwa maji, na Limao au Yai la Kuku wa kienyeji (ile njano yake). zingatia vipimo hivi ambapo kwa maji lita 5–3 utatumia kijiko kimoja cha Asali, vijiko viwili vya sukari, Maziwa kikombe cha kahawa, Limao moja unaminyia lote, Hakikisha unavuruga/changanya mchanganyiko huu hadi rangi inakua ya kama njano flani hivi hapo inakua tayari kwa matumizi.
Soma Hii: Jinsi ya kuwa na uso soft
MATUMIZI YA MCHANGANYIKO
Jinsi ya kutumia mchanganyiko huu ni very simple baada ya kuchanganya dawa yako kabla ya kulala unapaka usoni kisha unaacha kwa dakika 25 hadi 30 ndipo utasafisha uso wako tena kwa kutumia kitambaa safi na maji ya uvuguvugu tena lakini yasiyochanganywa mchanganyiko wa dawa yako, hakikiaukimaliza zoezi hili moja kwa moja unaenda kulala kuipa nafasi dawa ya asili iliyopo kwenye mchanganyiko ifanye kazi, Sio unapaka mchanganyiko kisha unaenda KULEWA.