Jinsi ya kuwa na USO mzuri
Kama ambavyo tunajua usoni ndio reception (mspokezi). kwenye hii article tunaenda kujadili njia bora sana kufanya uso wako uwe nadhifu na msafi muda wote kwa asilia, wikikii media tunaunga mono harakati za kupinga matumizi ya vipodozi vya kemikali maana vina madhara makubwa sana na ndio maana tunajadili mbinu ya ASILI itakayotusaidia kutunza sura na kuwa na muonekano mzuri muda wote.
Kuna njia nyingi za kusafisha uso wako uonekane wa kuvutia na kupendeza. kwenye hii article tunaenda kuangalia mbinu za kusafisha uso kwa njia ya asili. Njia za asili ni bora kuliko hizo kemikali wanazotumia wanawake wengi, ukitumia njia za asili means hakuna madhara yeyote yale yatakayosababishwa.
Njia hii ni simple tu kwamba ni kwamba anza utaratibu maalumu ndni ya mwezi mmoja tu ndani ya huu mwezi kila siku kabla ya kulala unajipaka mchanganyiko ambao naenda kukuelezea soon! lkn unatakiwa unajipaka na unakaa na huu mchnganyiko kwa takriban nusu saa kabla ya kwenda kuosha na maji ya uvuguvugu.
MCHANGANYIKO
Mchanganyiko wetu ni maji ya uvuguvugu unayachanganya na Asali, Sukari, Maziwa yasiyowekwa maji, na Limao au Yai la Kuku wa kienyeji (ile njano yake). zingatia vipimo hivi ambapo kwa maji lita 5 utatumia kijiko kimoja cha Asali, vijiko viwili vya sukari, Maziwa kikombe cha kahawa, Limao moja unaminyia lote, Hakikisha unavuruga/changanya mchanganyiko huu hadi rangi inakua ya kama njano flani hivi hapo inakua tayari kwa matumizi.
Soma Hii: Jinsi ya kuwa na uso soft
MATUMIZI YA MCHANGANYIKO
Jinsi ya kutumia mchanganyiko huu ni very simple baada ya kuchanganya dawa yako kabla ya kulala unapaka usoni kisha unaacha kwa dakika 25 hadi 30 ndipo utasafisha uso wako tena kwa kutumia kitambaa safi na maji ya uvuguvugu tena lakini yasiyochanganywa mchanganyiko wa dawa yako, hakikiaukimaliza zoezi hili moja kwa moja unaenda kulala kuipa nafasi dawa ya asili iliyopo kwenye mchanganyiko ifanye kazi, Sio unapaka mchanganyiko kisha unaenda BAA.
Iwe una ngozi kavu haina mafuta au imekakamaa huu mchanganyiko utailainisha ngozi yako na itarudi kuwa soft tena kama ulivyokuwa mtoto.
