Katiba ya Tanzania PDF
Katiba ni kitabu cha sheria na utaratibu mzima wa jinsi ya kuendesha serikali katika nchi. Katiba inabeba sheria za msingi kama muongozo ambao serikali itautumia kufanya shughuli zake ndani ya nchi. katiba inamuongozo wa namna jinsi taasisi kubwa za serikali zinavyofanya kazi na jinsi zinavyoingiliana kimajukumu kimsingi Katika ya nchi imebeba muongozo wa uendeshaji wa taasisi kubwa ndani ya nchi kama vile serikali kuu, bunge na mahakama.
Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilitungwa mwaka 1977 lakini imepitia mabadiliko mengi tayari kulingana na mahitaji ya nyakati mbalimbali, Ikumbukwe kwamba miaka ya hivi karibuni kumekuwa na Mijadala mingi kuhusiana na kubadilisha katiba ya nchi ambapo mijadala hii mingi imekuwa ikipata support kutoka kwenye makundi mbalimbali ya wanaharakati wa masuala ya siasa.
Vipengele muhimu vilivyopo kwenye katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania



DOWNLOAD KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
