Kuhusu Wikihii
Wikihii.com ni media inajihusisha na kutoa habari mtandaoni live, Tunatoa taarifa za aina mbalimbali kama vile Uchumi, Biashara, Elimu pamoja na makala mbalimbali za habari. Kipekee kabisa tunatoa habari mpya zote zilizotrend wiki nzima ndio maana tunaitwa wikihii.com
Wikihii Blog inakuletea habari na matukio yaliyotrend wiki nzima, lakini kama haitoshi tunaandika makala mbalimbali za kukuelimisha na kukuburudisha kupitia category zetu kama Biashara, Elimu, Michezo na burudani.
Wikihii tuna uzoefu wa miaka mitatu kwenye tasnia ya habari mtandaoni, Tumejipanga kuhakikisha kwamba tunakuletea habari mpya, zinazotrend na zenye kuelimisha na kukuongezea maarifa katika mambo mbalimbali ya maisha.
Kwa wanaotafuta Ajira wikihii tupo kwa ajiri yenu tunapost matangazo ya kazi mbalimbali za serikali na makampuni makubwa kupitia category ya Ajira Mpya lakini pia unaweza kujiunga na chaneli yetu ya whatsApp kwa ajiri ya kupata updates za kazi na Ajira papo hapo kwenye simu yako pindi zinapotangazwa tu na sisi tunazipost team yetu ina waandishi wabobezi ambazo wanafuatilia mienendo yote ya Ajira za makampuni binafsi na serikali.
