Haya hapa Majina Mazuri ya Kumuita Mpenzi Wako leo
majina mazuri ya mpenzi wako
- Mpenzi
- Nyota yangu
- Moyo wangu
- Roho Yangu
- Kipenzi
- Malkia / Mfalme
- Mwanga Wangu
- Furaha Yangu
- Raha Yangu
- Moyo Wangu
- Huba wangu
- Uaridi wangu
- Wandani wangu
- Mbonii yangu
Majina mazuri ya kumuita mpenzi wako wa kike
- Honey
- Sweetheart
- Angel
- Baby / Beby
- Sugar
- Princess
- Darling
- Love
- Queen
- Teddy
- Pretty Girl
- Sunshine
- Cutie Pie
- Doll Face
Majina mazuri ya kumuita mpenzi wako wa kiume
- Babe
- My King
- Sweetheart
- My Love
- Simba
- Prince
- My Heart
- Papa
- Darling
- Hero
- My Lion
- Champ
- Handsome
- My Soldier
Soma na Hii: Majina Maalum ya Watoto Wakiume ya Kikristo (A-Z) – Jina na maana yake
Majina ya Kiswahili ya Upendo
- WANGU
- Asali
- Pendo
- Nyota Yangu
- MY Wangu
- Nuru Yangu
- Sukari
- Kipenzi Changu
- Tumaini Langu
- Mrembo Wangu
- Kasuku wangu
- Malkia wa Moyo Wangu
- Mamito
- Papito
- Shujaa Wangu
- Mwandani wangu
- Jemedari
- Mtoto mzuri
- Nyota ya Furaha
Majina mazuri ya kumuita mpenzi wako in english
- Snuggle
- Pumpkin
- Lovebug
- Cupcake
- Sugarplum
- Boo
- Sweetie Pie
- Angel Face
- Buttercup
- Cuddlebug
- Sweets
- Honey Bun
- Babycakes
- Lovey Dovey