Nafasi za kazi mpya wiki hii
Nafasi za kazi mpya wiki hii
Wiki hii tumekusanya kwa uangalifu ajira mpya zilizotangazwa kutoka taasisi mbalimbali nchini Tanzania. Orodha hii inajumuisha nafasi za kazi kutoka serikalini, mashirika binafsi, NGOs, taasisi za elimu, benki na kampuni binafsi.
Kwa wale wanaotafuta ajira za serikali, unaweza pia kutembelea Portal ya Ajira Serikalini kwa matangazo ya moja kwa moja kutoka Public Service Recruitment Secretariat (PSRS).
Kwa orodha kamili ya nafasi za kazi mpya zinazopatikana wiki hii kupitia Wikihii, tafadhali endelea kusoma hapa chini. Kila tangazo linakuja na maelezo muhimu kama majukumu ya kazi, vigezo vya kuomba, na jinsi ya kutuma maombi.
Tunapendekeza utembelee ukurasa huu mara kwa mara ili usipitwe na fursa za ajira zinazoendelea kuongezwa kila siku. Kama unatafuta kazi, huu ndio wakati wako – chukua hatua leo. Kwa updates za haraka, jiunge pia na channel yetu ya WhatsApp ili uwe wa kwanza kupata taarifa mpya za ajira.