Nafasi za Kazi Zilizotangazwa Kupitia Ajira Portal – Julai 2025
Fuatilia nafasi hizi mpya za kazi zilizowekwa rasmi kupitia Ajira Portal. Bonyeza kwenye kila link kufungua tangazo kamili la nafasi husika moja kwa moja.
Nafasi ya Kazi | Mwisho wa Maombi | Link Rasmi |
---|---|---|
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 2 POST (Chunya) | 2025-07-23 | Tazama Tangazo |
DEREVA DARAJA II – 5 POST (Chunya) | 2025-07-23 | Tazama Tangazo |
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 4 POST (Manyoni) | 2025-07-23 | Tazama Tangazo |
DEREVA DARAJA II – 3 POST (Ngara) | 2025-07-22 | Tazama Tangazo |
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 1 POST (Mtama) | 2025-07-23 | Tazama Tangazo |
Angalizo: Hakikisha unaangalia sifa kamili, nyaraka zinazotakiwa, na masharti mengine ndani ya kila tangazo.
Kwa ajira zaidi tembelea wikihii