🌹𝐍𝐃𝐎𝐀 𝐍𝐈 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐍𝐀 𝐇𝐔𝐑𝐔𝐌𝐀 🌹
Channel | 44K followers
((وَمِنْ آيَاتِهِ أَنْ خَلَقَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا لِّتَسْكُنُوا إِلَيْهَا وَجَعَلَ بَيْنَكُم مَّوَدَّةً وَرَحْمَةً إِنَّ فِي ذَلِكَ لَآيَاتٍ لِّقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹) *Naye Amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Hakika katika haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanaofikiri* (Ar-Ruum 30:21)
Karibu kwenye NDOA NI MAPENZI NA HURUMA 🌹 — sehemu ya mafunzo, simulizi za mapenzi na hekima za ndoa. Hapa utapata vidokezo vya kujenga mapenzi yenye huruma na uhusiano wenye nguvu. ❤️🔥
#Ndoa #Mapenzi #Huruma #Uhusiano #Hekima

