Share WhatsApp Facebook Telegram Email AJIRA UPDATES > WHATSAPP Orodha ya Marais wa Zanzibar 1 Sheikh Abeid Amani Karume 1964–1972 2 Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi 1972–1984 3 Ali Hassan Mwinyi 1984–1985 4 Sheikh Idris Abdul Wakil 1985–1990 5 Dkt. Salmin Amour Juma 1990–2000 6 Amani Abeid Karume 2000–2010 7 Dkt. Ali Mohamed Shein 2010–2020 8 Dkt. Hussein Ali Mwinyi 2020–sasa Soma: Chanzo cha Vita ya Kwanza ya Dunia → Soma zaidi: IWM History ↗