Vyuo Vikuu Binafsi
Orodha ya Vyuo Vikuu Binafsi Tanzania
- Chuo Kikuu cha Kairuki (KU)
- Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait (SUMAIT)
- Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT)
- Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)
- Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira (TUMA)
- Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU)
- Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Afya na Sayansi Shirikishi (CUHAS)
- Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)
- Chuo Kikuu cha Iringa (UoI)
- Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge (MWECAU)
- Chuo Kikuu cha Morogoro (MUM)
- Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania (SJUT)
- Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCU)
- Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU)
- Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)
- Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MUCCoBS)
- Chuo Kikuu cha Josiah Kibira (JOKUCo)
- Chuo Kikuu cha Mlima Meru (MMU)
- Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UoB)
- Chuo Kikuu cha Eckernforde Tanga (ETU)
- Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU)
- Chuo Kikuu cha Mt. Francis cha Afya na Sayansi Shirikishi (SFUCHAS)
- Chuo Kikuu cha Mt. Joseph (SJUCIT)
- Chuo Kikuu cha Stefano Moshi Memorial (SMMUCo)
- Chuo Kikuu cha Stella Maris Mtwara (STEMMUCO)
- Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo)
- Chuo Kikuu cha Canada Education Support Network (CESUNE)
- Chuo Kikuu cha Al-Maktoum cha Uhandisi na Teknolojia (AMCET)
Unatafuta Chuo Kikuu cha Serikali Tanzania?
Tunayo orodha kamili ya vyuo vikuu vyote vya serikali nchini Tanzania. Ikiwa wewe ni mwanafunzi unayetafuta elimu bora na yenye uthibitisho wa serikali, basi ukurasa huu utakusaidia kuchagua chuo sahihi kwa ndoto zako.
Tazama Orodha Kamili ya Vyuo Vikuu vya Serikali