Orodha ya Vyuo Vikuu vya Serikali Tanzania
Katika Tanzania, kuna vyuo vikuu vingi vya serikali vinavyotoa elimu ya juu kwa Watanzania na watu kutoka mataifa mengine. Vyuo hivi vinafundisha masomo mbalimbali kama sayansi, afya, kilimo, biashara, sheria, ualimu, na mengine mengi. Kwenye ukurasa huu tumekusanya orodha ya vyuo vikuu vyote vya umma vilivyosajiliwa, pamoja na mahali vilipo, mwaka vilipoanzishwa, na hadhi ya usajili wao.
Orodha ya Vyuo Vikuu vya Serikali Tanzania
- Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
- Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
- Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA)
- Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili (MUHAS)
- Chuo Kikuu cha Mzumbe
- Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)
- Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)
- Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)
- Chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology – MUST)
- Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST)
- The State University Of Zanzibar (SUZA)
- Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwalimu Julius K. Nyerere (MJNUAT)
Unatafuta Chuo Kikuu cha Private Tanzania?
Tunayo orodha kamili ya vyuo vikuu vyote vya Private nchini Tanzania. Ikiwa wewe ni mwanafunzi unayetafuta elimu bora na yenye uthibitisho wa serikali, basi ukurasa huu utakusaidia kuchagua chuo sahihi kwa ndoto zako.
Tazama Orodha Kamili ya Vyuo Vikuu vya Private