Close Menu
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook X (Twitter) Instagram
wikihii.comwikihii.com
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
Facebook YouTube WhatsApp
  • Home
  • Makala
  • Elimu
  • Biashara
  • Michezo
wikihii.comwikihii.com
Home

Sera ya faragha

Sera ya faragha

Sera ya Faragha (Privacy Policy)

Faragha yako ni muhimu kwetu. Katika Wikihii.com, tunahakikisha taarifa zako binafsi zinalindwa na kutumiwa kwa uangalifu. Sera hii ya faragha inaeleza jinsi tunavyokusanya, kutumia, na kulinda taarifa unazotupa unapowasiliana na tovuti hii.

1. Taarifa Tunazokusanya

Tunaweza kukusanya taarifa zifuatazo unapotumia tovuti yetu:

  • Jina lako (ukijaza fomu)
  • Anuani ya barua pepe
  • Namba ya simu
  • Maoni au maswali unayowasilisha kupitia fomu ya mawasiliano
  • Taarifa za kifaa unachotumia (kama vile kivinjari, IP address, n.k.) kupitia cookies

2. Jinsi Tunavyotumia Taarifa

Tunatumia taarifa zako kwa madhumuni yafuatayo:

  • Kujibu maoni au maswali yako
  • Kuboresha huduma na maudhui ya tovuti
  • Kutuma masasisho au taarifa muhimu kuhusiana na huduma zetu
  • Kuchambua trafiki ya tovuti na matumizi kupitia Google Analytics au zana nyingine

3. Matangazo na Affiliate Links

Tovuti yetu hutumia matangazo kutoka kwa washirika wa kibiashara (kama vile Monetag au Adsterra). Matangazo haya yanaweza kutumia cookies kufuatilia matumizi yako ya tovuti ili kuonyesha matangazo yanayokufaa. Hatuhifadhi taarifa zako binafsi kwa ajili ya matangazo haya.

4. Usiri wa Taarifa

Hatutauza, kuhamisha, au kufichua taarifa zako binafsi kwa mtu mwingine bila idhini yako, isipokuwa pale inapolazimika kisheria.

5. Viungo vya Nje

Tovuti yetu inaweza kuwa na viungo vya kuelekea tovuti nyingine. Hatuhusiki na sera za faragha au maudhui ya tovuti hizo. Tunashauri usome sera zao kabla ya kushiriki taarifa yoyote binafsi.

6. Usalama wa Taarifa

Tunachukua hatua za kiusalama kulinda taarifa zako dhidi ya upotevu, matumizi mabaya au ufikiaji usioidhinishwa. Hata hivyo, hakuna mfumo wa mtandaoni unaoweza kuwa salama kwa asilimia 100.

7. Haki Zako

Una haki ya kuomba nakala ya taarifa zako binafsi tulizonazo, kuzibadilisha, au kuomba zifutwe kabisa kutoka kwenye rekodi zetu. Tafadhali wasiliana nasi kupitia ukurasa wa Mawasiliano.

8. Mabadiliko ya Sera ya Faragha

Tunaweza kufanya mabadiliko kwenye sera hii ya faragha kadri tunavyoboreshwa huduma zetu. Tarehe ya mwisho ya maboresho itaonekana hapa chini.

Tarehe ya Mwisho wa Maboresho: Aprili 17, 2025


Kwa maelezo zaidi au maswali kuhusu faragha yako, tafadhali wasiliana nasi kupitia ukurasa wa Wasiliana Nasi.

Asante kwa kuitembelea Wikihii.com.

Biashara
Biashara

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la Dar es salaam Stock Exchange (DSE)

By Wikihii MediaJune 3, 20250

Makampuni Yanayouza Hisa ktk Soko la DSE – Dar es salaam Stock Exchange Uwekezaji katika…

Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka Alibaba (China) Hatua kwa Hatua

June 3, 2025

Aina za mikopo CRDB Bank | Mikopo ya CRDB

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo CRDB Bank

June 3, 2025

JINSI YA KUOMBA MKOPO NMB KWA WAJASIRIAMALI

June 3, 2025

Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Halmashauri (10% kwa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu)

June 3, 2025

wikihii media

  • Disclaimer
  • Kuhusu wikihii
  • Sera ya faragha
  • Sheria ya Matumizi
  • Wasiliana na wikihii

Wikihii Services

  • Michezo
  • Forex Tanzania
  • Leo ktk Historia
  • Kipimo cha Mimba
  • Matokeo ya Mtihani

Wikihii Newsletter

Subscribe kwenye email list wikihii kupata Updates za Ajira punde tu Mara baada ya Ajira kutangazwa.

© 2025 wikihii.com Designed by Wikihii Media.
  • Cookies Policy
  • Wordpress Website Service

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Ad Blocker Enabled!
Ad Blocker Enabled!
Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors. Please support us by disabling your Ad Blocker.