😍 STORI NA HADITHI TAMU 😋 ZA KUSISIMUA 📚🥰
Channel | 19K followers
Karibu kwenye STORI NA HADITHI TAMU ZA KUSISIMUA – sehemu bora kwa wapenzi wa #Story, #Hadithi, #Riwaya, #Tamthilia, #Chombezo na #Simulizi kutoka kwa mtunzi mahiri Frank Titus Kapinga. 🔥 Hapa utapata simulizi zinazoburudisha, zenye mafunzo na msisimko wa hali ya juu.
Zaidi ya hadithi, channel hii pia inashirikisha makala za biashara na ujasiriamali kwa wakubwa na watoto. Pia unaweza kupata vitabu vya Softcopy na Hardcopy vinavyoandikwa na Frank Titus Kapinga. Kila simulizi ni somo, kila hadithi ni msukumo wa maisha! 💫
#Simulizi #Hadithi #Riwaya #Tamthilia #FrankTitusKapinga #StoryZaKusisimua
