Tangaza Hapa
Karibu kwenye ukurasa rasmi wa matangazo ya Wikihii.com. Tuna nafasi mbalimbali za matangazo kwa gharama nafuu na matokeo bora kwa biashara yako. Ikiwa unahitaji kutangaza bidhaa, huduma, au brand yako kwa hadhira ya Kitanzania na Afrika Mashariki, basi uko mahali sahihi.
Kwanini Utangaze na Wikihii.com?
Wikihii.com ni jukwaa linalowavutia maelfu ya wasomaji kila siku. Kwa hiyo, kutangaza nasi kunakupa faida zifuatazo:
- Ufikiaji wa hadhira yenye nia ya kweli (targeted audience)
- Matangazo yanayoendana na maudhui halisi (contextual placement)
- Muonekano wa kitaalamu na unaovutia
- Ripoti za utendaji (Performance reports)
- Huduma ya haraka na ya kirafiki kwa kila mteja
Aina za Matangazo na Bei
- Banner ya Juu (Header 728×90): Tsh 100,000 kwa wiki
- Banner ya Chini (Footer): Tsh 70,000 kwa wiki
- Tangazo Kati ya Post (Mid Article): Tsh 60,000 kwa wiki
- Tangazo Pembeni (Sidebar 300×250): Tsh 50,000 kwa wiki
- Makala Maalum (Sponsored Post): Tsh 80,000 kwa post
- Popup Ad: Tsh 90,000 kwa wiki
Jinsi ya Kutangaza
Tuma maombi ya matangazo kupitia wikihiimedia@gmail.com kwenye email au tupigie moja kwa moja kupitia whatsapp: wasiliana na wikihii page .
Baada ya makubaliano, tangazo lako litawekwa hewani ndani ya masaa 24.
Huduma Maalum kwa Washirika wa Kudumu
Kwa wafanyabiashara wanaotangaza kwa muda mrefu au kila mwezi, tunatoa punguzo la bei na faida maalum kama nafasi ya kudumu au matangazo yanayobadilika kila wiki bila gharama ya ziada.