Vitabu vya forex kwa kiswahili pdf
Kwenye forex trading kuna vitabu vingi sana katika pdf ambavyo vinaweza kukusaidia kujifunza forex mwenyewe kwa kusoma vitabu hivi na kufanya practise ya kile ambacho umejifunza kutoka kwenye kitabu husika, nakuletea vitabu vya forex kwa kiswahili pdf.
Vitabu vya forex kwa kiswahili pdf
Biashara ya forex imefichwa kwa watu wengi sana means ni watu wachache sana ambao wanaifahamu haswa na wamefanya siri unataka kujua kwanini? -kwa sababu ni biashara hakuna mfanyabiashara ambae yupo tayari kutoa SIRI zake, kama hauamini mfate vunjabei mwambie akupe siri yake ya kufungua maduka mengi makubwa mikoa mbalimbali hakuna utakachambulia.
Kwenye forex ndio kabisa SIRI inajulikana na wachache sasa katika hii article tunaenda kufungua baadhi ya SIRI za forex kupitia vitabu mbalimbali vya forex.
Tumia Hizi Tools za Forex bure https://wikihii.com/forex/
Trading in the zone
Trading in the zone (pdf) hichi ni kitabu ambacho kiliandikwa na MARK DOUGLASS (marehemu) aliandika kitabu hichi miaka mingi iliyopita, Ujumbe mkubwa kwenye kitabu hichi ni jinsi ya kufanya trading kama kazi kwa kuzingatia saikolojia yako, jinsi ya kupambana na matarajio yako (FEAR & GREED),
Pia Mark anazungumzia namna ya kuichukulia trading kwa minajiri ya game ambayo kuna kupata na sometimes kupoteza sokoni, kimsingi ukitaka kujitambua ktk game ya trading ni muhimu ukasoma na kuelewa na kutendea kazi mafundisho yaliyopo kwenye kitabu hichi.
Principles (The Changing World Order)
Principles (pdf) the changing world order ni kitabu kingine muhimu sana kilichoandikwa na RAY DALIO, moja ya matrader wakubwa sana na anatumia njia za ku study uchumi fundamentally hizo ndio strategy zake sasa, Katika kitabu chake cha PRINCIPLES ameandika kuhusiana na namna ya kusoma matukio ya dunia kwa kuzingatia historia kwamba kuna matukio kama hayo yalishatokea na yakaleta impact fulani na anatoa mifano kbs ya matukio kama kuporomoka kwa uchumi 2008 na vitu kama hivo,
Lakini pia kwenye kitabu RAY DALIO ameandika kuhusiana na CHANGING WORLD ORDER – hapa mwandishi dalio anatukumbusha kwamba dunia imepitia mabadiliko mengi ya super power na vita kubwa za kidunia na kwamba kila baada ya kipindi cha muda fulani matukio haya yana tabia ya kujirudia tena, kimsingi hichi kitabu hakifundishi forex direct lakini kinakufundisha namna dunia inavyoenda na jinsi ya kuwekeza katika situation tofauti TOFAUTI.
Tumia Hizi Tools za Forex bure https://wikihii.com/forex/
Market wizard by Jack Schwager
Market wizards pdf ni kitabu kingine muhimu sana kukisoma ukitaka kupata mafanikio kwe nye biashara ya forex kwa sababu ni kitabu ambacho kinazungumzia mbinu mbalimbali za kufanya forex, Mwandishi J. Shwagger anajulikana kama trader mkongwe mwenye uzoefu mkubwa na tayari ametajirika sana kutokana na biashara ya forex, kwenye kitabu anafundisha mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kufanya trading, mbinu zake zimebase kwenye fundamental na swing trading na ukiwa unataka kutoboa kwenye biashara ya forex basi make sure unasoma hichi KITABU.
Best Loser Wins by TraderTom
Hichi ndio kitabu changu pendwa katika forex, ni kitabu ambacho kinakufundisha jinsi ya kujielewa wewe kama trader na jinsi ya ku act kutokana na situation kwenye masoko, mwandishi mwenye pesa chafu na uzoefu mkubwa sokoni (tradertom) ameelezea kwenye kitabu kwamba ni kwanini ngumu sana kwa mtu mwenye Ufikiri wa kawaida kutoboa kwenye masoko ya forex.
soma hii: BIASHARA YA FOREX PDF
Sasa concept kubwa kwenye hichi kitabu ni kwmba Trader ambae ni mzuri wa kupoteza ndio huwa anatoboa sokoni) nitafafanua vizuri hapa maana yake ni kwmba trader ambae ni mzuri kwenye kupoteza means (Trader anayepambana kupata hasara kidogo) ndiye ambaye anashida mwisho wa siku – ukiwa unapambana kujizuia usipoteze au unapoteza mara kidogo bei ikienda upande sio wako (LOSS), na unapata kiasi kikubwa bei ikienda upande wake mwisho wa siku wewe ndiye MSHINDI.
Mind Over Markets
Kitabu kingine muhimu kwenye forex trading ni Mind Over Markets cha James F. Dalton, Eric T. Jones, na Robert B. Dalton—mojawapo ya vitabu vyenye nguvu zaidi kwenye biashara ya kufanya trading (stock markets na currencies markets) Ikiwa una nia ya dhati kuhusu kuelewa mfumo wa masoko, saikolojia ya kufanya trading kama kazi, na kufanya maamuzi yenye uwezekano mkubwa kuwa sahihi, basi kitabu hiki ni lazima UKISOME.
The Japanese candlestic bible pdf
The Japanese candlestic bible ni kitabu cha awali kabisa kuhusu uchambuzi wa kitalamu (technical analysis), kitabui hich kimebeba concept ya mfanya biashara wa mchele aliyewahi kuwa na mafanikio makubwa kwenye biashara yake ya kutrade mchele sasa yeye ndiye baba wa candlestick alikua akitumia candlestick kufanya trading ya mchhele na akawa tajiri mkubwa miaka hiyo sasa candlestick ya leo imekua modified,
Kimsingi candlesticks ndio lugha ya soko masoko yote ya forex, stocks, index, na mengine yanaonekana katika mfumo wa candlle na sasa hizi zinakusaidi kuelewa mbinu zote za PRICE ACTION na kama nilivyosema candle ndio msingi wa kuielewa technical analysis, Hichi kitabu kinaelezea concept mbalimbali za candlestics na jinsi ya kuzitumia candlestics kupata ENTRIES based on Technical Analysis.
Zana Bora za Forex Zimekusubiri
Tembelea sehemu yetu ya zana za Forex — kama Kalenda ya Uchumi, Kigeuza Sarafu, na nyingine nyingi. Zimeandaliwa kukuongoza kwenye mafanikio yako ya biashara mtandaoni.
Fungua Zana za Forex